Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Na majitu yanakenua na kufurahia
 
'Unavyodanga' Kutwa huidhallishi Familia yako na Koo zako zote Mbili na Chuo Kikuu chako ulichosoma?

Pumbavu.
Eti BAMC? Huna hata media Ethics kichwani! Yaani shule ww ulipelekwa kunenepa kichwa tu
 
Nina Wasiwasi na huyu Dogo.
Inawezekana akawa niwa Mchongo.
Dunia Simama Nishuke
 
Eti BAMC? Huna hata media Ethics kichwani! Yaani shule ww ulipelekwa kunenepa kichwa tu
Naona hiyo Kozi yangu ya BAMC niliyoisoma inakuuma na ndiyo maana kila mara tu Unaitaja. au ulitaka nisomee Kozi yako Uliyosoma ya Udangaji, Upumbavu na Utaahira Daima ( UUUD ) ndipo Ufurahi?
 
Naona hiyo Kozi yangu ya BAMC niliyoisoma inakuuma na ndiyo maana kila mara tu Unaitaja. au ulitaka nisomee Kozi ya Udangaji, Upumbavu na Utaahira Daima ( UUUD ) ndipo Ufurahi?
Tuliosoma chuo tuna kufunza , ww ulie pita shule.
 
Nina Wasiwasi na huyu Dogo.
Inawezekana akawa niwa Mchongo.
Dunia Simama Nishuke
Majaliwa Jackson ni Pandikizi la Kipropaganda period. Amini Watu wote Tanzania ila siyo Premier Majaliwa Kassim Majaliwa sawa?
 
Nakushukuru Mkuu kwa Kulitambua.
Pamoja sana mkuu, huyu jamaa Wazo pigo zake na staili yake ya uandishi haina utofauti na member mmoja ambaye kila nyuzi zako anakuja kushambulia mpaka kwenye uzi huu yupo anashambulia,ila cha ajabu anaamua kutumia ID mbili tofauti kumshambulia mtu mmoja .

Siku zote ilikuwa haingii akili mwangu kuwa mtu kutumia ID tofauti kumshambulia mtu mmoja katika uzi mmoja ila leo nimethibisha ulivyokuwa ukidai kuhusiana na hili ,na nimekubali wewe ni 'well informed person'.
 
Search Threads zangu zina akili sana. Vipi Leo uja anzisha uzi wa muuza Ngada wenu wa Simba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utumbo kama huu ndio unajisifia kuwa una akili wewe Dada?

Halafu sikujua kama wewe mdada , vipi siwezi kuja kutoa mahali kwenu nikuoe ?
 
Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
Una akili timamu kweli wewe au ni mgeni hapa duniani?
 
Nashukuru kwa kuwa na Akili Kubwa na Kumjua Mkuu.
 
Sijui ni kwanini Watanzania ni wepesi sana Kudanganyika na kufanywa Wapumbavu ( Mipan'gang'a ) Mkuu.
WaTz wenngi ni mipan'gan'ga.
Huo ndio ukweli mchungu.
Ukihoji h7 ujanjaujanja wa Maja unaonekana una wivu....ukiuliza wivu wa nini? Hawana jibu. Hii ni taabia ya kupenda vitu virahisirahisi.
 
Hapa lengo kuu ilikuwa kufocus huyo tu tusahau shida ya kupelekea ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…