Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

Aliyeokoa abiria sio majaliwa bali ni abiria aliyekuwa ndani ya ndege. Majaliwa alizimia kabla mlango haujafunguliwa sababu kuna kamba ilifungwa ili boat ivute mlango ufunguke, hiyo kama ilikatika ikampiga mjaliwa akazimia na wavuvi walimwokoa.
Huyu jamaa ndo aliyeokoa watu wote na ndo alistahili haya matangazo

Hiyo kamba aliifunga nani kwenye ndege?
 
Mimi ninachokisema mtu akifunguliwa njia za mafanikio hakuna atakayeweza kuzifunga ndicho kilichotokea, na hapo juu sijakiri bali nimeleta assumptions tu kulingana na vile mnapenda kusikia.

My take: majaliwa ameshapata ajira na zawadi kutoka kwa wadau tumuache ale mavuno ya ujasiri wake.
Mentality za hivi ni za kipuuzi sana, kwahiyo hata Mama Samia kafunguliwa milango ya Baraka hatuwezi kuzuia licha ya kwamba serikali yake imefeli Kila kitu? Au hata mtu ukiwa na cheti feki au umetoa rushwa kupata promotion basi tukae kimya sababu tu ni "bahati" na "mlango wa mafanikio umefunguliwa"!!

Utakua mshirika wa Ministries sio bure
 
Mkuu relax machungu ya maisha usije kuyamalizia kwangu.
 
Ni hivi wakati wahudumu wanafungua mlango kwa ndani Majaliwa alikuwa kwa nje na aliwasaidia kuuvuta.

Dogo kasaidia sana katika juhudi za uokoaji
 
Mkuu relax machungu ya maisha usije kuyamalizia kwangu.
Sio machungu ila nyie ndio mnaturudisha nyuma sana. Unakuta jitu limeiba kura alafu unasema Mungu akipanga hakuna wa kuzuia.... Mara sijui ndio bahati yake... Mara sijui wakati wake wa kuketi na wakubwa umefika!! Sasa unajiuliza hivi Mungu anaweza kweli kutumia uongo kumpandisha mtu? Au Mungu anaweza ruhusu ajali na makumi kufa Ili "shujaa" Fulani aajiriwe?

Hizi mentality ni za washirika wa Gwajima au Mwamposa. Embu kuweni na objective reasoning sio Kila kitu kuweka Imani mbele.
 
Back
Top Bottom