johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wananchi wa Kigoma Ujiji wanapenda sana kulipwa fidia pindi miradi mikubwa ya maendeleo kama Hospitali, bandari na barabara.
Majaliwa amesema kwa kufanya hivyo wana Ujiji wanajicheleweshea maendeleo wao wenyewe kwani kulipa fidia ni hisani siyo lazima.
Kadhalika Majaliwa amemtaka mwenyekiti wa baraza la madiwani na madiwani wake kuhakikisha ifikapo mwezi June wawe wamechimba visima vya kutosha mitaani.
Majaliwa amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Kigoma Ujiji.
Source: ITV habari!