26 August 2022
Tunis, Tunisia
MKUTANO WA TICAD
Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini Tunis.
Dhima ya mkutano huo ni mahusiano ya bara la Afrika na nchi ya Japan utakaoangazia hatua za maendeleo ya nchi za kiAfrika pia masuala ya kiuchumi, biashara, usalama, utengamano na jinsi nchi zinavyojinasua baada ya baa la gonjwa la Covid -19 lililotingisha chumi za nchi nyingi huku nchi masikini za Afrika kuathirika zaidi kiuchumi.
Tuzo ya heshima inayojulikana kama the Hideyo Noguchi Africa Prize itatolewa
View all
the Eighth Tokyo International Conference on African Development (TICAD) Summit, scheduled to take place from 27 – 28 August 2022 in Tunis, Tunisia.
The Summit is organised by the Government of Japan, the United Nations Development Programme (UNDP), the World Bank, and the African Union Commission (AUC).
The Eighth TICAD Summit will highlight the close connection between Japan and Africa, as well as set out a pathway for African development, looking ahead to the post-pandemic era.
It will comprise the plenary sessions and the Japan – Africa Business Forum. The plenary sessions will be on the following topics: Economy; Society and Peace and Stability.
It will be attended by the African Heads of State, the Japanese Government as well as representatives of the private sector such as the Japan Business Federation, Japan Association of Corporate Executives, and others.
Also forming part of the programme will be the presentation of the Hideyo Noguchi Africa Prize.
The main purpose of the prize is to honour individuals and organisations with outstanding achievements in the fields of medical research and medical services to combat infectious and other diseases in Africa, thus contributing to the health and welfare of the African people and of all humankind.

Kikao hicho cha Nane cha "Tokyo" kuhusu Maendeleo ya Africa uliotayarishwa na wadau wakubwa yaani serikali ya Japan, UNDP, Benki ya Dunia World Bank na African Union Commission (AUC) utaanza tarehe 27 August 2022 hadi 28 August 2022 katika mji mkuu Tunis wa taifa la kaskazini mwaka Afrika la Tunisia.Video courtesy of TICAD8 - Tunisia
Dhima ya mkutano huo ni mahusiano ya bara la Afrika na nchi ya Japan utakaoangazia hatua za maendeleo ya nchi za kiAfrika pia masuala ya kiuchumi, biashara, usalama, utengamano na jinsi nchi zinavyojinasua baada ya baa la gonjwa la Covid -19 lililotingisha chumi za nchi nyingi huku nchi masikini za Afrika kuathirika zaidi kiuchumi.
Tuzo ya heshima inayojulikana kama the Hideyo Noguchi Africa Prize itatolewa
Hideyo Noguchi Africa Prize(FACT SHEET) - Cabinet Office Home Page .https://www.cao.go.jp/noguchisho/english/about/lifehistorydrnoguchi.htmlThe Government of Japan established the Hideyo Noguchi Africa Prize in July 2006 in memory of Dr. Hideyo Noguchi whose contribution to medical advancement and self-sacrificing activities in Africa remain a paragon of professionalism. Mindful of the ominous human suffering persisting in Africa, the region facing the most serious health challenge on the globe, the Prize aims to honour individuals with outstanding achievements in the fields of medical research and medical services to combat infectious and other diseases in Africa, thus contributing to the health and welfare of the African people and of all humankind.
View all
Tunis, TunisiaHideyo Noguchi, also known as Seisaku Noguchi, was a prominent Japanese bacteriologist who in 1911 discovered the agent of syphilis as the cause of progressive paralytic disease