Waziri Mkuu mpya akiwa ni Kati ya Hawa wafuatao basi Samia ajipange kuanguka Serikali yake

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,006
Reaction score
9,542
hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande

1. Mwigulu Mchemba
Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye

2. Kabudi
Huyu ni Mchumia tumbo tu hajawahi kuwa mwanasiasa na pia mpenda kulamba miguu
anawazaga kumfurahisha bosi wake tu kwa kuongea ujinga
Hafai

3. Makonda
huyu chawa ila hatari sana akikaribia mezani kwa Mama ataweza mfanya lolote baya! anajikweza, Anatamani kila mtu ajue kuwa yeye ndio mtoa maamuzi! Mpangaa mbinu chafu na muuaji

4. Tulia Akcson

Huyu ni zao la Magufuli la ukandamizaji wa haki! yey anajiangalia yeye tu na ikumbukwa Hajazaa huyu hana hata uchungu wa familia! ana kibuti kibaya sana

list inaendeleaa...
 
Waziri Mkuu ni Tulia Akson akisaidiwa Dotto Biteko
 
Tulia ana mtoto mmoja.
 
Hakuna serikali. Ilianguka MO29
 
Tulia sio ana watoto wawili, ke na me, niliona siku ile bungeni alipotembelewa na mumewe,
Pia kuna siku aliwapost akiwa anaenda nao kanisani huko kwao Mbeya.

Au sio wake wale??
 
hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande

1. Mwigulu Mchemba
Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye

2. Kabudi
Huyu ni Mchumia tumbo tu hajawahi kuwa mwanasiasa na pia mpenda kulamba miguu
anawazaga kumfurahisha bosi wake tu kwa kuongea ujinga
Hafai

3. Makonda
huyu chawa ila hatari sana akikaribia mezani kwa Mama ataweza mfanya lolote baya! anajikweza, Anatamani kila mtu ajue kuwa yeye ndio mtoa maamuzi! Mpangaa mbinu chafu na muuaji

4. Tulia Akcson

Huyu ni zao la Magufuli la ukandamizaji wa haki! yey anajiangalia yeye tu na ikumbukwa Hajazaa huyu hana hata uchungu wa familia! ana kibuti kibaya sana

list inaendeleaa...
Yule fazafaka hachomoki hata amteue nani. Tumechoka!
 
Back
Top Bottom