Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 4,006
- 9,542
DuhWaziri mkuu ni Angela Kairuki
Girlsway or BFFWaziri mkuu ni Angela Kairuki
Tulia ana mtoto mmoja.hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande
1. Mwigulu Mchemba
Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye
2. Kabudi
Huyu ni Mchumia tumbo tu hajawahi kuwa mwanasiasa na pia mpenda kulamba miguu
anawazaga kumfurahisha bosi wake tu kwa kuongea ujinga
Hafai
3. Makonda
huyu chawa ila hatari sana akikaribia mezani kwa Mama ataweza mfanya lolote baya! anajikweza, Anatamani kila mtu ajue kuwa yeye ndio mtoa maamuzi! Mpangaa mbinu chafu na muuaji
4. Tulia Akcson
Huyu ni zao la Magufuli la ukandamizaji wa haki! yey anajiangalia yeye tu na ikumbukwa Hajazaa huyu hana hata uchungu wa familia! ana kibuti kibaya sana
list inaendeleaa...
Ana mtoto mmojaKwaiyo jamaa wa tulia ana kojoa upepo au ana kojoa kwa kipimo
ππππWaziri mkuu ni Angela Kairuki
Hakuna serikali. Ilianguka MO29hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande
1. Mwigulu Mchemba
Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye
2. Kabudi
Huyu ni Mchumia tumbo tu hajawahi kuwa mwanasiasa na pia mpenda kulamba miguu
anawazaga kumfurahisha bosi wake tu kwa kuongea ujinga
Hafai
3. Makonda
huyu chawa ila hatari sana akikaribia mezani kwa Mama ataweza mfanya lolote baya! anajikweza, Anatamani kila mtu ajue kuwa yeye ndio mtoa maamuzi! Mpangaa mbinu chafu na muuaji
4. Tulia Akcson
Huyu ni zao la Magufuli la ukandamizaji wa haki! yey anajiangalia yeye tu na ikumbukwa Hajazaa huyu hana hata uchungu wa familia! ana kibuti kibaya sana
list inaendeleaa...
Yule fazafaka hachomoki hata amteue nani. Tumechoka!hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande
1. Mwigulu Mchemba
Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye
2. Kabudi
Huyu ni Mchumia tumbo tu hajawahi kuwa mwanasiasa na pia mpenda kulamba miguu
anawazaga kumfurahisha bosi wake tu kwa kuongea ujinga
Hafai
3. Makonda
huyu chawa ila hatari sana akikaribia mezani kwa Mama ataweza mfanya lolote baya! anajikweza, Anatamani kila mtu ajue kuwa yeye ndio mtoa maamuzi! Mpangaa mbinu chafu na muuaji
4. Tulia Akcson
Huyu ni zao la Magufuli la ukandamizaji wa haki! yey anajiangalia yeye tu na ikumbukwa Hajazaa huyu hana hata uchungu wa familia! ana kibuti kibaya sana
list inaendeleaa...
Kwani Jiwe amerudi?Waziri mkuu ni Angela Kairuki
ππππKwani Jiwe amerudi?