Waziri Mkuu mpya Uingereza aikana chadema. Hotuba ya Andy Burnham kama ya Rais Samia, hata wao mambo hayaendi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa tusitegemee kupata misaada ya maana kutoka Uingereza na Jumuiya ya madola. Hata wao kumbe wanajua kuwa hadhi yao ya kiuchumi na kimataifa imeporomoka sana.

Hotuba ya Andy Burnham inafanana kabisa na hotuba na mageuzi ya kiuchumi anayoyafanya Rais Samia nchini; hasa yale ya kuishirikisha sekta binafsi kwenye uchumi na kuboresha huduma kwa wananchi.

Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Jumuiya ya Madola ambayo mkuu wake ni Uingereza ina msaada kwetu asahau kabisa, maana Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka kujikika zaidi kwenye kuifanya Uingereza kuwa Greater Again. Tufunge mikanda tuijenge nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe; hakuna mjomba wetu Uingereza wa kutusaidia.

Tulaani na kudhibiti kwa nguvu zote vitendo vinavyoturudisha nyuma kimaendeleo.

Hebu msikilize na wewe

View: https://youtu.be/OaLFzTYjngI?si=7zHzkLd45Z7ml9oJ
 
Had mda.huu natafuta mahal.aliposema.ameikana.chadema.sjaiona.nimemtuma.mwnangu alete.miwan.ya marehemu babu yake labda lenz.yake.inazoom.zaid
Pole sana, sikiliza vizuri kaka hotuba yake. HOTUBA yake inaonyesha hali mbaya sana nchini kwake. Vyama vyetu vya siasa vinategemea wahisani kujiendesha, sasa hiiii... inakuwa habari mbaya sana kwetu. Tone tone haitoshi bana kufanya yote. jamaa anataka kufanya mageuzi makubwa ambayo yataangalia ndani zaidi. Sijui kama hata huko Ukraine atajihusisha nako sana.
 
Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa tusitegemee kupata misaada ya maana kutoka Uingereza na Jumuiya ya madola. Hata wao kumbe wanajua kuwa hadhi yao ya kiuchumi na kimataifa imeporomoka sana.

Hotuba ya Andy Burnham inafanana kabisa na hotuba na mageuzi ya kiuchumi anayoyafanya Rais Samia nchini; hasa yale ya kuishirikisha sekta binafsi kwenye uchumi na kuboresha huduma kwa wananchi.

Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Jumuiya ya Madola ambayo mkuu wake ni Uingereza ina msaada kwetu asahau kabisa, maana Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka kujikika zaidi kwenye kuifanya Uingereza kuwa Greater Again. Tufunge mikanda tuijenge nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe; hakuna mjomba wetu Uingereza wa kutusaidia.

Tulaani na kudhibiti kwa nguvu zote vitendo vinavyoturudisha nyuma kimaendeleo.

Hebu msikilize na wewe

View: https://youtu.be/OaLFzTYjngI?si=7zHzkLd45Z7ml9oJ

TUNASHUKURU KWA TAARIFA....
NGOJA NIKUWEKE KWENYE ORODHA WATAKAOPATA POSHO SIKU YA LEO
 
Mtoa mada usichoelewa ni kwamba hakuna nchi ngumu kuiongoza kama UK jamaa bunge lao limenyooka wakikukalia kooni ata diaemba mbali unabwaga manyanga mwenyewe
Kaka utitiri huu wa mawaziri wakuu UK unaojitokeza hivi karibuni unatokana na mambo makuu 2. UK kujitoa EU, na UK kushiriki vita ya Ukraine na Urusi. Hata yeye kama ataendelea kugharamia vita ya Ukraine hatadumu kwenye ofisi yake.
 
Pole sana, sikiliza vizuri kaka hotuba yake. HOTUBA yake inaonyesha hali mbaya sana nchini kwake. Vyama vyetu vya siasa vinategemea wahisani kujiendesha, sasa hiiii... inakuwa habari mbaya sana kwetu. Tone tone haitoshi bana kufanya yote. jamaa anataka kufanya mageuzi makubwa ambayo yataangalia ndani zaidi. Sijui kama hata huko Ukraine atajihusisha nako sana.
Acha kujipa usemaji wa waziri mkuu wa Uingereza kirahisi hivyo.Unamuwekea maneno yako mdomoni mwake?Utapata aibu!Kule siyo Tanzagiza.
 
Acha kujipa usemaji wa waziri mkuu wa Uingereza kirahisi hivyo.Unamuwekea maneno yako mdomoni mwake.Utapata aibu!Kule siyo Tanzagiza.
Msikilize kisha unganisha dots upate projection. Hiyo ni akili ya kawaida tu inayoitwa "common sense". Hakuna mahali hotuba yake imegusa nchi nyingine zaidi ya milio ya umaskini uliokithiri. Amegundua makosa ya watangalizi wake waliyofanya miaka 40 iliyopita ambayo yeye anataka kuyarekebisha mara moja. Sasa ndani ya makosa hayo inawezekana kabisa yamo yale ya kutapanya pesa kuwapa chadema na vyama vingine kama CCM au vya kigaidi.
 
Back
Top Bottom