Waziri Mkuu mpya Uingereza aikana chadema. Hotuba ya Andy Burnham kama ya Rais Samia, hata wao mambo hayaendi

Had mda.huu natafuta mahal.aliposema.ameikana.chadema.sjaiona.nimemtuma.mwnangu alete.miwan.ya marehemu babu yake labda lenz.yake.inazoom.zaid
Mkuu pole sana hadi kwa kusaka miwani haya mazezeta ya Lumumba yakitupiwa script yanabeba ilivyo hata kujaribu kuchambua hayawezi.

Si ajabu hata kile chumba walicholipwa kurecord press za tuhuma feki za ufisadi kwa Heche yalishindwa kubadili pazia kila mara hadi kupelekea kujulikana kirahisi.
 
Huwezi kutuchomea mabasi yetu huku Mbagala tukose usafiri halafu useme unataka kutuletea maendelea. Yaani maendeleo yanaletwa na kuchoma ofisi za serikali na ajira za watu kwenye sheli, malori, TRA, nk. Vitu kama hivyo waambieni wake zenu labda watawaelewa.

Uingereza ndiye Mkuu wa Jumuiya ya Madola mnayotamba nayo kuwa ina misuli ya kutuamuru sisi nini cha kufanya. Hii ina maana Ulaya yote iko hoi, hawana hela ya kutupa sisi. Sanasana wanatafuta rasilimali zetu kujinusuru.

Ni heri. rasilimali zetu wazisombe China na Urusi na Japan na waarabu kuliko wakoloni wa EU na Uingereza.
 
Huwezi kutuchomea mabasi yetu huku Mbagala tukose usafiri halafu useme unataka kutuletea maendelea.
Nani aliyechoma mabasi?

Swali la msingi kwanini hujiulizi mabasi yaliyochomwa ni ya watu kadhaa na sio wote?

Na kwanini wachomewe watu kadhaa tu sio wote?
Yaani maendeleo yanaletwa na kuchoma ofisi za serikali na ajira za watu kwenye sheli, malori, TRA, nk. Vitu kama hivyo waambieni wake zenu labda watawaelewa.
Kwanini Uingereza hawajachoma ofisi za serikali ,mamlaka ya kodi na gas stations ?

Jiulize mara mbili.
Uingereza ndiye Mkuu wa Jumuiya ya Madola mnayotamba nayo kuwa ina misuli ya kutuamuru sisi nini cha kufanya. Hii ina maana Ulaya yote iko hoi, hawana hela ya kutupa sisi. Sanasana wanatafuta rasilimali zetu kujinusuru.
Ulaya ipi iko hoi?

Unaota wewe zezeta .

Kuna nchi ya Ulaya inazidiwa uchumi na Tanzania?
Ni heri. rasilimali zetu wazisombe China na Urusi na Japan na waarabu kuliko wakoloni wa EU na Uingereza.
Ulivyo zezeta unaunga mkono rasilimali kuporwa?
 
Vipi huko Uingereza wameua wangapi?
Sisi tuliambiwa waliuawa mia Tano+
 
Wahi hospitali, inaweza kukusaidia kurudiwa na akili japo kidogo.

Mtu una tatizo la akili, halafu kichwani umejaza kumbukumbu moja tu CHADEMA. Kwa akili iliyoharibika hivi, yawezekana hata bukta yako unaiita CHADEMA. Maana inaonekana akili imefuta kumbukumbu zote za maana, umebakia tu na neno CHADEMA.

Pole sana mgonjwa wa akili. Hatuna sababu ya kukudhihaki au kukucheka. Uchukuliwe tu ni mgonjwa kama wagonjwa wengine, hukutaka uwe hivyo. Pole sana. Kwenye hiyo clip hakuna neno CHADEMA, na haiwezi kuwepo kwa sababu CHADEMA haihusiki kwa namna yoyote na uchumi wa UK..
 
Aibu yako hii kavulata kutoka kuwa mjenga hoja hadi kuwa chawa, so sad 😔
 
very powerful, short and clear first speech by Andy Burnham UK PM
 
 
Akili ndogo, hili siwezi kukujibu. Huna exposure unaambiwa tu na akina Heche. Kama Heche akirudi CCM kuunga juhudi unasubiri mwingine. Mazuzu huwa yanapelekeshwa kama bendera inavyopeperushwa kuelekea upepo unakovumia.
 
Akili ndogo, hili siwezi kukujibu. Huna exposure unaambiwa tu na akina Heche. Kama Heche akirudi CCM kuunga juhudi unasubiri mwingine. Mazuzu huwa yanapelekeshwa kama bendera inavyopeperushwa kuelekea upepo unakovumia.
0/100.
 


Wenzetu ambao mungu amewajalia viongozi ambao wapo kwa ajili ya wanainchi
 

Attachments

  • Screenshot_20260723_214620.jpg
    312.3 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…