Ukimya wake umezidi na sijasema awe muongeji sana au mkosoaji hapana..hata kuhudhuria misiba ya viongozi wa kitaifa haonekani, sherehe za uapisho wa maraisi na viongozi wakuu hayumo...kwenye dhima za kitaifa kama uhuru na muungano haonekaniMkuu kuna wakati bora kukaa kimya inasaidia sana kulinda heshima yako
Mkuu Mzee anaweza kuwa na sababu zake za msingi kabisa kwanini hatokei katika matukio haya ila hii haita badilisha chochote maana mambo yanakwenda kama kawaida.Ukimya wake umezidi na sijasema awe muongeji sana au mkosoaji hapana..hata kuhudhuria misiba ya viongozi wa kitaifa haonekani, sherehe za uapisho wa maraisi na viongozi wakuu hayumo...kwenye dhima za kitaifa kama uhuru na muungano haonekani
Wapare hatari mkuu.Hahahhahah aisee anaonea bajet hela isiyo mfukoni kwake
Njoo PMWewe ya kwako nani anailinda? Nipo hapa hadi pakuche, msibani watu hawalali
Hapa pananitosha, thanks.Njoo PM
Ni confidential.. Kama hutotaka pia ni sawaHapa pananitosha, thanks.
Hayo mambo confidential yamenizidi umri[emoji3]Ni confidential.. Kama hutotaka pia ni sawa
Kumbe tuko wengi yaani usingizi umegoma kbs!yaani nakaribia kumaliza social media /forum zote ,halafu mbaya zaidi asubuhi kazini km kawa.Wewe ya kwako nani anailinda? Nipo hapa hadi pakuche, msibani watu hawalali
Mie nimeshalala tangu saa 3 nimeshtuka saa 7 usingizi ndo umekata hivyoKumbe tuko wengi yaani usingizi umegoma kbs!yaani nakaribia kumaliza social media /forum zote ,halafu mbaya zaidi asubuhi kazini km kawa.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Umri wake hauruhusu kuzurura.Mkuu Mzee anaweza kuwa na sababu zake za msingi kabisa kwanini hatokei katika matukio haya ila hii haita badilisha chochote maana mambo yanakwenda kama kawaida.
Picha hio sio halisi jichetue PM, maraa paaap remi ongala huyuu hapa!Ni confidential.. Kama hutotaka pia ni sawa