Le mutuz jana aliunguruma IdodomiaUsisahau umri wa passport wa Msuya ni almost 90! Na kwa mambo ya zamani ya kutokuwa na takwimu sahihi unaweza kukuta yupo above 90! NI watu wachache sana kama akina Mzee Mwinyi ndio bado wanaweza kuwa na afya mzuri wakati wameshagonga 80! Hivi hata mzee mwenzie Le Mutuz unamsikia sikia sana siku hizi?! Na hapo ujue Mzee Msuya ni mkubwa kuliko mzee mwenzie Le Mutuz!!
Huyu mzee Msuya kwa sasa ana miaka88 acheni kumuweka mizania moja na kina Pinda na Warioba waliozaliwa miaka ya katikati ya 40.
Hata hivyo ni vile mzee anaishi a decent life otherwise angekuwa ni mwingine ungekuta hata kutembea hawezi.Huyu mzee na Malecela wamezidiana kidogo japo Msuya amemzidi Malecela kwa kwa miaka 3.
hahahaha nafahamu nafahamuPicha hio sio halisi jichetue PM, maraa paaap remi ongala huyuu hapa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Picha hio sio halisi jichetue PM, maraa paaap remi ongala huyuu hapa!
Hahahaha...hivi ni kweli au ni utani wenu wachaga na wapare...Wapare hatari mkuu.
Ukienda kwake akikukaribisha mezani ukikataa anatabasamu kwa furaha
Waogope hao watu hata awe mchungaji huwa hawaachi asili yao
Bro Mpare ni bahili akina Sanga wakosome.Hahahaha...hivi ni kweli au ni utani wenu wachaga na wapare...
Yupo wapi??
Vyema....Mara ya mwisho nilikuwa najua yuko Upanga, ni kama miaka 3 imepita.