joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Eh! wasemaje? Hakuonga nyumba?Hayo ni yako nendeni mahakamani kama mlivyokariri!
Sidhani, alikuja kwa vile hakutendewa haki!Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA walidai waziri mkuu mstaafu mh Frederick Sumaye alikuwa ametumwa ili kukivuruga chama hicho.Je dhamila yake hiyo imetimia?
Ohhh...Ila ungefahamu kuwa kuna mambo yalishindikana kiserikali kutokana na huyu mtu kutokuwepo unsingesema hivyo mkuu
2005 alikuwa upande wa Salimu Amed Salimu akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete
2015 akamfata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa
2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udicteta unaofikia mwisho octobar na kuangukia pua.
Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.
Kila Jambo na wakati wakeKwaiyo watamrudishia
Kajamaa haka akili zake zinamtosha mwenyewe na familia yake. Huwa kanaandika habari za vijiweniNadhani unachanganya mambo, Mzee Sumaye mwaka 2005 hakua kambi ya mtu yeyote ile badala yake alipambana mpaka mwisho ila kura hazikutosha akaishia kwenye tano bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama WasiraMwanaume ukiisha pigwa na mwanamke jua kuwa lazima uweweseke. Kiboko yake Nagu tu.
Ila Wasira ana akili. Ametulia tuli baada ya kujua kuwa Wakati ukutaKama Wasira
Kama analipwa hizo ungemuuliza anahangaika nini si atulie?Halafu mrudishieni lile Shamba lake la Mabwepande na MvomeroMtu anayelipwa 80% ya mshahara wa waziri mkuu wa Sasa unadhani ana tabu kama kiongozi wenu wa maisha ?