Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

NYALANDU yupo njiani kurudi CCM.

Ninachosikitika aliye wakaribisha naye kapewa miaka mingine ya uwenyekiti.

Siasa za Tanzania kama ukiwa genius huwezi zielewa,labda uwe kilaza.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA walidai waziri mkuu mstaafu mh Frederick Sumaye alikuwa ametumwa ili kukivuruga chama hicho.Je dhamila yake hiyo imetimia?
Sidhani, alikuja kwa vile hakutendewa haki!
 
2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.

2015 akamfuata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa.

2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udikteta unaofikia mwisho oktoba na kuangukia pua.

Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.
 
Nadhani unachanganya mambo, Mzee Sumaye mwaka 2005 hakua kambi ya mtu yeyote ile badala yake alipambana mpaka mwisho ila kura hazikutosha akaishia kwenye tano bora.
2005 alikuwa upande wa Salimu Amed Salimu akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete

2015 akamfata fisadi Lowassa akaangukia tena pua na kukosa hata ukuu wa mkoa

2020 anarudia tena kosa lilelile la kwenda kuunga mkono udicteta unaofikia mwisho octobar na kuangukia pua.

Anguko la Sumaye ni funzo kwa vijana wanaojifunza siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hana bahati, isitoshe hawezi siasa kabisa huyu, maana sionagi sumu zake, hana saundi ni kama mtendaji tu
 
'2005 alikuwa upande wa Salim Amed Salim akapigwa chini akakosa hata uwaziri kwenye serikali ya Kikwete.'

Mtu alikua waziri mkuu wa Mkapa 1995-2005 bado unataka arudishwe tena kua waziri wa kawaida kipindi cha Kikwete?

Anyway ndio wachambuzi wetu hao.

BTW CCM hua wanamuita Sumaye ni Zero Brain.

dodge
 
Back
Top Bottom