Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Wanafanya kila njia ili wakurudishe kundini au wakuueChini ya jua ni ubatili mtupu.Mara nyingi jambazi akiasi kundi lake habaki salama wenzake watamwandama kumuangamiza. Bora alipata mbinyo wa kiuchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
You dont knowMkuu,
Sumaye hawezi kuipa masharti CCM ya kurudi kwake.
Watakaokuwa wanakula matapishi ni akina Sumaye na Lowasa na si CCM ya sasa..
Masharti ya Sumaye ya kujidhalilisha na kula matapishi yake na kukiuka viapo vya gizani na hadharani alivyojiapisha ni pamoja na kurejeshewa eneo lake la Mabwepande na shamba lake la Morogoro aliloporwa kwa sababu alihamia CHADEMA mwaka 2015, ikiwa kama hilo limeshindikana basi alipwe fidia kwa thamani ya sasa.
Hii ndio CCM ya sasa ambayo kuna Rais mmoja mstaafu ambaye amekuwa dalali wa mambo haya, haijulikani kama dalali huyu ambaye anafanya haya kama anapewa 10% au lah.
Karudishiwa wewe bado unasugua bench kusifu na kuabudu binadamu mwenzako.Hayo ni mawazo yako isipokuwa sumaye alikuwa kazini!
Kodi zetu ndio maana tunatishwa tusijuzwe chochote kinachoendelea kama mbuzi mnadaniNa hiyo fidia itatokana na kodi zetu au zitatoka mfuko wa ccm?kama ni kweli basi hii nchi inahitaji maombi ya kufunga na kuomba
Tena wa Harvard.
Mungu kishaachana na nchi hii , hata mkifunga na kuomba hapokei maombi yenu
Wewe ndo huoni huo umuhimu wake maana zaidi ya kupiga mapambio ya kusifu na kuabudu unajua nini zaidi?si ujinga tu ndo unakusumbua-wewe kitendo cha rais kuacha majukumu yake na kwenda kumpokea Lowasa unaelewa nini hapo hata kama unaakili kiduchuUongo hata hamna soni. Kwani sumaye ana umuhimu gani hata chama kiende kinyume na misingi yake ili yeye arudi. Yeye ndio anakihitaji chama kuliko chama kinavyomuhitaji. Juzi yule savimbi aliyeko kule sweeden kaandika kama uhakika makatibu waastasfu kinana na makamba wamekataa kuhojiwa na kubwanga manyanga chama. Kumbe uongo wa kutunga. Mtu wa ovyovyo kwelikweli hata aibu hana kwa kula mikate ya siagi ya mabeberu.