Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado nyalandu
 
Chama kubwa tunamuandaa BM kuchukua nafasi na kazi aliyoacha teh teh
 
Haki yake kikatiba. Ndo raha ya kuwa binadamu. Unachagua chama unachotaka,unaweza pia kuwa bila chama kama nilivyo mimi. Vamooooooos Sumaye.
 
Huyo ndo kamanda asiyetumika siyo wasaliti kama kina Zitto
 
Ukimuondoa hayati Mwl Nyerere hakuna Mwanasiasa mwingine yeyote nchini ninayemuanini 100%. Walio wengi maslahi yanaamua asimamie nini na wanaweza kubadilika any time.
 
Hawezi akajaza nafasi za wakina Kinana. Hatoshi ni mwepesi na umaarufu umeshakwisha.
 
Back
Top Bottom