Waziri Mkuu Mwigulu atoa siku saba Mama aliyeporwa ardhi kurejeshewa

Waziri Mkuu Mwigulu atoa siku saba Mama aliyeporwa ardhi kurejeshewa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa ardhi yake Mahakama ilimpa haki lakini mshatakiwa alimpora tena kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha.

Ametoa agizo hilo akiwa katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,


 
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa ardhi yake Mhakama ilimpa haki lakini mshatakiwa alimpora tena kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha.

Ametoa agizo hilo akiwa katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,


well done,
keep it up PM:KasugaYeah:
 
Atoe siku saba pia kukomesha utekaji unaoendelea na manyanyaso ya polisi kwa raia ili tumwelewe vizuri wananchi.
 
well done,
keep it up PM:KasugaYeah:
Mpuuzi huyo, anajifanya kuiga swaga za Magufuli akidhani atawateka wananchi. Jishangazi la kizimkazi liliiga swaga za dhalimu Magufuli, matokeo yake kapasuka msamba.
 
Atoe siku saba pia kukomesha utekaji unaoendelea na manyanyaso ya polisi kwa raia ili tumwelewe vizuri wananchi.
Yuko kusaka sifa za kijinga wala hana lolote.
 
Back
Top Bottom