well done,Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ametoa agizo la Mama aliyeporwa eneo lake la ardhi kurejeshewa ndani ya siku saba, ameeleza mama huyo alinunua eneo hilo 2009 na alipofikisha suala hilo la kuporwa ardhi yake Mhakama ilimpa haki lakini mshatakiwa alimpora tena kutokana na uwezo wake mkubwa wa fedha.
Ametoa agizo hilo akiwa katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,
wewe lazima utakuwa ni chawa wa Madelu!well done,
keep it up PM
calm down ikiwa uko pointless gentlemanwewe lazima utakuwa ni chawa wa Madelu!
Mpuuzi huyo, anajifanya kuiga swaga za Magufuli akidhani atawateka wananchi. Jishangazi la kizimkazi liliiga swaga za dhalimu Magufuli, matokeo yake kapasuka msamba.well done,
keep it up PM
Yuko kusaka sifa za kijinga wala hana lolote.Atoe siku saba pia kukomesha utekaji unaoendelea na manyanyaso ya polisi kwa raia ili tumwelewe vizuri wananchi.