Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Watanganyika hawaelewi. Anataka kuanza kujichanganya kama ndugu yakeAkizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.
"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."
Watanganyika hawaelewi. Anataka kuanza kujichanganya kama ndugu yake
La Meck jitenge na neno Haki na Uwajibikaji. Wahuni wataingia kwenye AC zako tutasikia umejiuzulu na tusikuone tena
Lugha yako iwe katiba yetu haina mapungufu, wananchi lindeni amani
Jeshi simamieni amani
Mmeanza kurudi kwenye madai ya wananchi ambayo mlikuwa mkiyapinga kwa nguvu sana.Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.
"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."
Kwa mara ya kwanza umeongea na wananchiAkizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.
"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."
πππAkizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.
"Leo hii Mheshimiwa Rais aliposema anahitaji kuwaachia Watanzania anapomaliza awamu yake hii ya pili kwamba anataka aondoke asiwaachie tu miundombinu, majengo na barabara, anataka awaachie na tabasamu, mimi kama msimamizi wa shughuli za serikali na ambaye katiba inanielekeza jambo lolote ambalo Mheshimiwa Rais anataka lielekezwe, Waziri Mkuu atatekeleza ama atasababisha litekelezwe, nikajua ili watu wapate tabasamu kuna mambo mawili lazima yasisitizwe: haki na uwajibikaji, haki na uwajibikaji."
Sidhani kama hayo aliyosema ametumwa na Mama.Sisi tunapenda Mama aongeze kipindi kingine .Yeye anasema anamaliza kipindi cha pili.Halafu anajiandaa kuchukua nafasi yake .Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na uwajibikaji vinabidi kuwa kipaumbele.