Yupo wapi? Mbeya? Mihemko ya kimpumu. Kapumuliwa! GDP ipi hiyo?waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa mpango wa bima ya afya kwa wote unatarajiwa kuzinduliwa kuanzia mwezi januari 2026, huku akizihimiza hospitali zote nchini kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya utekelezaji wa mpango huo.
Ameyasema hayo leo desemba 17, 2025, wakati wa ziara yake mkoani songwe, alipofanya ukaguzi katika maeneo yaliyokumbwa na changamoto wakati wa maandamano ya oktoba 29, 2025.
Lazima mtu ajitoe ufahamu ili kupata kiki.waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa mpango wa bima ya afya kwa wote unatarajiwa kuzinduliwa kuanzia mwezi januari 2026, huku akizihimiza hospitali zote nchini kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya utekelezaji wa mpango huo.
Ameyasema hayo leo desemba 17, 2025, wakati wa ziara yake mkoani songwe, alipofanya ukaguzi katika maeneo yaliyokumbwa na changamoto wakati wa maandamano ya oktoba 29, 2025.