Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akutana na Balozi wa Tanzania nchini Uganda

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba leo Julai 17, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uganda Marco Elisha Gaguti, Ofisini kwake Mlimwa Jijini Dodoma

IMG-20260717-WA0069.jpg



IMG-20260717-WA0067.jpg


IMG-20260717-WA0065.jpg


IMG-20260717-WA0061.jpg


IMG-20260717-WA0071.jpg


IMG-20260717-WA0073.jpg
 

Attachments

  • IMG-20260717-WA0063.jpg
    IMG-20260717-WA0063.jpg
    330.5 KB · Views: 11
Balozi wa Tanzania nchini uganda

Sasa apo kuna lipi la maana au apo kuna nini tunaenda kufaidika baada ya kukutana kwao

Ila nimefurahi mwendo ni ule ule kuajiri wasitaafu wakat kuna vijana na wazee kibao wa ccm wako mtaani hawana ajira na wana maisha magumu kazi yao ni uchawa

Hili linatakiwa liwe funzo kwa wana ccm walioko mtaani na wale waliomo humu jf wanatumiwa kama kondomu zikija ajira wanapewa wastaafu,

Kwel wana ccm wengi ni matahira ivi hii huwa haiwaumi ajira hampewi kaz zenu ni uchawa na propaganda ikija suala la ajira Ccm ina wenyewe na wenyewe ndo hao sasa
 
Back
Top Bottom