Balozi wa Tanzania nchini uganda
Sasa apo kuna lipi la maana au apo kuna nini tunaenda kufaidika baada ya kukutana kwao
Ila nimefurahi mwendo ni ule ule kuajiri wasitaafu wakat kuna vijana na wazee kibao wa ccm wako mtaani hawana ajira na wana maisha magumu kazi yao ni uchawa
Hili linatakiwa liwe funzo kwa wana ccm walioko mtaani na wale waliomo humu jf wanatumiwa kama kondomu zikija ajira wanapewa wastaafu,
Kwel wana ccm wengi ni matahira ivi hii huwa haiwaumi ajira hampewi kaz zenu ni uchawa na propaganda ikija suala la ajira Ccm ina wenyewe na wenyewe ndo hao sasa