Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba aongoza kikao cha Mawaziri kujadili masuala ya Muungano Zanzibar

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba aongoza kikao cha Mawaziri kujadili masuala ya Muungano Zanzibar

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Mawaziri wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kilichojadili masuala ya Muungano. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Golden Tulip, Uwanja wa Ndege-Zanzibar leo Aprili 25, 2026.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

IMG-20260425-WA0112.jpg
IMG-20260425-WA0109.jpg
IMG-20260425-WA0103.jpg
 
Back
Top Bottom