Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba awasili Zanzibar

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

IMG-20260104-WA0058.jpg

IMG-20260104-WA0060.jpg
3fb2d79991af481a9075290727742763.jpg
245c3d90af5140d09a0cf635dab8beae.jpg
IMG-20260104-WA0058.jpg
 
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kuna kitu hakiko sawa!
 
Tunatumia nguvu kubwa kuitomasatomasa Zanzibar bila sababu za msingi. Imagine Marekani waende kuitomasatomasa Puerto Rico au Guam. Visehemu kama hivi kwanza vinatakiwa kufurahi kuwa na taifa kubwa la kuwalinda na kuwa chini yake. Sisi ndiyo tunaonekana kama tunashukuru kuwa nao hadi tunakubali kujishusha kupita kiasi hadi wanaota mapembe.
 
Yani leo hii Burundi wakitaka kujiunga na Tanzania watu watafurahi watawapa nusu kwa nusu. Yani Self esteem ya Mtanganyika ni ndogo mnoooo....

Mtanganyika huwa haelewi suala la kulinda maslahi yake.
 
Au bi. Msumi kavuta?? Yaani wote hawa wameenda Zanzibar kwenye sherehe za mapinduzi wiki moja kabla ?
1. Kikwete.
2. Nchimbi.
3. Mwigulu.
4. Simbachawene.
Bado hamuoni kuna kitu kinatengenezwa hapa?

Miaka yote sherehe za mapinduzi hufanyika lkn hatujawahi kuona viongozi wanafurika Zanzibar wiki moja kabla.
 
Trailer kabla ya movie
 
Tunatumia nguvu kubwa kuitomasatomasa Zanzibar bila sababu za msingi. Imagine Marekani waende kuitomasatomasa Puerto Rico au Guam. Visehemu kama hivi kwanza vinatakiwa kufurahi kuwa na taifa kubwa la kuwalinda na kuwa chini yake. Sisi ndiyo tunaonekana kama tunashukuru kuwa nao hadi tunakubali kujishusha kupita kiasi hadi wanaota mapembe.
CCM imeiuza Tanganyika utumwani Zanzibar
FB_IMG_1762334534298.jpg
 
Mwigul amesaidia sana wizi wa pesa ya Tanganyika kupeleka Zenji, kama malipo ya kuwezesha huo wizi wa kuineemesha Zenji, naye alipewa uhuru wa kuiba kiasi anachotaka kwaajili ya timu yake ya mpira, na sasa amezawadiwa uPM. Huyu mtu yupo tayari kuua hata ndugu zake mradi yeye atajirike au apewe cheo. Na kipindi hiki hela ya Tanganyika itaporwa na kupelekwa zenji kwa kiwango cha kutisha, maana amewajaza hao wazenji na mamluki kila eneo muhimu la kuruhusu pesa kutoka.
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

View attachment 3525360
View attachment 3525411View attachment 3525412View attachment 3525413View attachment 3525414

Hivi tangu lini Waziri Mkuu anafungua miradi Zanzibar? Mwenye kumbukumbu la jambo kama hili kufanyika huko nyuma atukumbudhe.

Kila nikijaribu kurewind memory yangu bashindwa kupata picha ya Majaliwa, Pinda, Lowasa, Sumaye, Malecela au Warioba wakifungua kamradi kokote Zanzibar.
 
Kuna uwezekano wa vitu vitatu:

1. Samuya ameshavuta, wanataka kutangaza msiba wa kitaifa.

2. Kikao cha maridhiano na Samuya ya kujiuzulu na mikoba kuchukua Nchimbi.

3. Samuya anataka kuhutubia Taifa kupitia mkusanyiko wa hao watu na mambo mengine kama alivyo fanya kwa wazee wa Dar baada ya kelele nyingi yuko wapi, yuko wapi mara Ai, maana kuja Bara bado ana kauoga. Najua wote tunaombea namba 1 au 2.😀

Ni kati ya hayo, basi moja wapo ndo msingi wa hao kwenda uko Zanzibar.
 
Number 1 itakata mzizi wa FITNA.
 
Uzinduzi wa Bima ya Afya kwa wote je, utafanyika Zanzibar?🤔🤔
 
Back
Top Bottom