Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Kuna kitu hakiko sawa!πππ§. π πͺπππ¨ππ¨ ππͺππ¦πππ πππ‘πππππ₯
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Hata mimi nimefikiria hvyo hvyoKuna kitu hakiko sawa!
Tunatumia nguvu kubwa kuitomasatomasa Zanzibar bila sababu za msingi. Imagine Marekani waende kuitomasatomasa Puerto Rico au Guam. Visehemu kama hivi kwanza vinatakiwa kufurahi kuwa na taifa kubwa la kuwalinda na kuwa chini yake. Sisi ndiyo tunaonekana kama tunashukuru kuwa nao hadi tunakubali kujishusha kupita kiasi hadi wanaota mapembe.
Trailer kabla ya movieAu bi. Msumi kavuta?? Yaani wote hawa wameenda Zanzibar kwenye sherehe za mapinduzi wiki moja kabla ?
1. Kikwete.
2. Nchimbi.
3. Mwigulu.
4. Simbachawene.
Bado hamuoni kuna kitu kinatengenezwa hapa?
Miaka yote sherehe za mapinduzi hufanyika lkn hatujawahi kuona viongozi wanafurika Zanzibar wiki moja kabla.
CCM imeiuza Tanganyika utumwani ZanzibarTunatumia nguvu kubwa kuitomasatomasa Zanzibar bila sababu za msingi. Imagine Marekani waende kuitomasatomasa Puerto Rico au Guam. Visehemu kama hivi kwanza vinatakiwa kufurahi kuwa na taifa kubwa la kuwalinda na kuwa chini yake. Sisi ndiyo tunaonekana kama tunashukuru kuwa nao hadi tunakubali kujishusha kupita kiasi hadi wanaota mapembe.
Sio sherehe za 12/1/26 Mapinduzi?Kuna kitu hakiko sawa!
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
View attachment 3525360
View attachment 3525411View attachment 3525412View attachment 3525413View attachment 3525414
Kuna uwezekano wa vitu vitatu:Hivi tangu lini Waziri Mkuu anafungua miradi Zanzibar? Mwenye kumbukumbu la jambo kama hili kufanyika huko nyuma atukumbudhe.
Kila nikijaribu kurewind memory yangu bashindwa kupata picha ya Majaliwa, Pinda, Lowasa, Sumaye, Malecela au Warioba wakifungua kamradi kokote Zanzibar.
Kuna uwezekano wa vitu vitatu:
1. Samuya ameshavuta, wanataka kutangaza msiba wa kitaifa.
2. Kikao cha maridhiano na Samuya ya kujiuzulu na mikoba kuchukua Nchimbi.
3. Samuya anataka kuhutubia Taifa kupitia mkusanyiko wa hao watu na mambo mengine kama alivyo fanya kwa wazee wa Dar baada ya kelele nyingi yuko wapi, yuko wapi mara Ai, maana kuja Bara bado ana kauoga. Najua wote tunaombea namba 1 au 2.π
Ni kati ya hayo, basi moja wapo ndo msingi wa hao kwenda uko Zanzibar.
Uzinduzi wa Bima ya Afya kwa wote je, utafanyika Zanzibar?π€π€Kuna uwezekano wa vitu vitatu:
1. Samuya ameshavuta, wanataka kutangaza msiba wa kitaifa.
2. Kikao cha maridhiano na Samuya ya kujiuzulu na mikoba kuchukua Nchimbi.
3. Samuya anataka kuhutubia Taifa kupitia mkusanyiko wa hao watu na mambo mengine kama alivyo fanya kwa wazee wa Dar baada ya kelele nyingi yuko wapi, yuko wapi mara Ai, maana kuja Bara bado ana kauoga. Najua wote tunaombea namba 1 au 2.π
Ni kati ya hayo, basi moja wapo ndo msingi wa hao kwenda uko Zanzibar.