Mara hii imekuwa siyo fedha ya Samia tena? Safari hii mazafakas watanyooka tu!Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uharibifu wa miundombinu iliyotokea siku na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 unapaswa kuwa funzo kwa taifa, akibainisha kwamba miundombinu hiyo si mali ya serikali bali ni matokeo ya jasho, kodi na kujinyima kwa wananchi wote.
Akizungumza Jumatatu jijini Dar es Salaam katika ziara yake ya kutathmini athari za matukio hayo, Waziri Mkuu amesema Watanzania ndiyo wanaobeba gharama za ujenzi wa barabara, vituo vya afya, miundombinu ya maji, shule na huduma nyingine zote za umma.
Dkt. Mwigulu amesisitiza kuwa katika utaratibu wa mapato ya nchi, fedha zinazotumika kujenga miundombinu hutokana na kodi na michango ya wananchi hata pale inapoelezwa kuwa ni mradi wa serikali.
Waziri Mkuu amesema Watanzania hujikamua, hujinyima na hujibana ili kufanikisha miradi ya maendeleo. Kwa sababu hiyo, kitendo cha kuchoma, kubomoa au kuharibu miundombinu ni sawa na mtu kulichoma shamba lake mwenyewe.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uharibifu wa miundombinu iliyotokea siku na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 unapaswa kuwa funzo kwa taifa, akibainisha kwamba miundombinu hiyo si mali ya serikali bali ni matokeo ya jasho, kodi na kujinyima kwa wananchi wote.

Na mimi mnitag akianza kuongelea waliotekwa, kuteswa, kupotezwa na kuuawa.Upele umepata mkunaji sasa...
Akianza kuongelea watu waliouwawa wengine wakiwa majumbani mwao mnishtue 👹
Hawa si wa kuwaamini kabisa.Wapo kwenye mikakati wa kijirudi japo kinyumenyume ,dawa hapo nikuwakandamiza dole la kati tu .
Wapo kwenye mikakati ya kuneutralize mkakati wa D9 ,Ngoma bado iko pale pale ,kama Samia hajaachia kiti kazi bado mbichi na this time mpango nikula vichwa vya wateule tu
Hivyo vituo vya police ni mali ya ccmWaziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uharibifu wa miundombinu iliyotokea siku na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 unapaswa kuwa funzo kwa taifa, akibainisha kwamba miundombinu hiyo si mali ya serikali bali ni matokeo ya jasho, kodi na kujinyima kwa wananchi wote.