Waziri Mkuu Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula, Mvua zimechelewa

Hali ya mvua ni mbaya sana. Jua kali mazao yanahitaji mvua lakini. Hamna

Mwaka kesho ni changamoto san
Sahihi mkuu ikinyesha tu ni kupanda ukichelewa inakula kwa mkulima.

Na ikumbukwe msimu uliopita pia hali ya mavuno ilikuwa mbaya

Ukichanganya na hii ya msimu huu tunaouanza kwa huu uhaba wa mvua mwakani bei za vyakula itapaa
 
Lakini na sisi Watanzania, kwa nini hadi leo tunategemea mvua kufanya kilimo?
Yani mvua zimechelewa basi hakuna kilimo, na maji pia ni ya shida baadhi ya maeneo dah, na vyanzo vikubwa vya maji tunavyo vya kutosha, tunapitwa na waarabu ambao nchi zao zipo jangwani. Dah 🥲
 
Umenikumbusha bashe alipewa karibia trillion 1 tsh ,katika uwaziri wake wa kilimo. Kwa ajili ya umwagiliahi TU, sijui zile pesa za miradi , ndio zimetumika kujenga mji wa GOBA
 
Huku maji huku mvua pigo la kwanza bado 9
 
Hakugusia kutunza maji hapa Dar kwani mvua zitachelewa?
 
Sisi born town tunatunzaje chakula ambacho hatuna?
 
Ardhi imemeza damu nyingi hadi mvua zimekuwa shida sasa
 
Damu iliyomwagika ni nyingi mno. Mpaka tutubu
 
Sasa hivi utaona masheikh wa Bakwata wanasema tuombe dua inyeshe mvua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…