Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Yaani bado anaishi katika dunia ya uongo wa zamani sana. Lucas mwasha ChoiceVariable Samia atosha tukutane2030Huyu mwigulu nadhani akifanya tathmini ya hotuba zake toka amepewa uPM atashangaa sana.
Tanzania kuilisha dunia
Wakulime msiuze chakula kutakuwa na njaa.
Serikali itauza akiba ili iende ikanunue kwa wakulima.
Hatutoboi.