Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,490
- 38,302
Heshima sana wanajamvi
Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT.
Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba.
Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya ubunge.Nia ilikuwa kumweka kando ya siasa za bongolala.
Spika Ndugai alipohoji mikopo holela alilazimishwa kujiuzulu.Dhambi yake kubwa tena isiyosameheka ilikuwa kuacha kumsifu Mama.Sina hakika labda Job Ndugai yuko kuzimu sasa.
Spika Tulia alipohoji sakata la KADCO alitenda dhambi kuu isiyosameheka akaweka kando,leo ni mbunge wa kawaida hata nafasi ya unaibu Waziri kaikosa.
Yuda wa Peramiho anazungumzia KATIBA MPYA.
Katiba mpya maana yake kupunguza au kuondoa nguvu za RAIS wa JMT.
Jambo hili si dogo hata kidogo machawa wa Mama,Machawa wa mfumo,Machawa wanufaikaji wa keki ya Taifa watamwacha salama !.
Yuda wa Peramiho alipewa assigment ya kulituliza kanisa Catholic kwakuwa yeye ni mkatoliki akagoma sasa anakuja na mashairi ya KATIBA MPYA ambayo itamfanya Rais wa JMT kuwa Rais wa kawaida na si Mungu mtu ataachwa salama na mfumo kandamizi.
Ngongo kwa sasa Mbeya kwa Sheikh Mwaipopo.