Hawa watu wasituchanganye akili. Huwa ''wanavujisha'' habari za uongo, za kuwasaidia wao. Majaliwa na Tulia mpaka sasa wako beneti na Samia. Hawajasema lolote kuhusu ubaya wa Samia. Sisi ndiyo tuwasemea. Ajabu gani.Heshima sana wanajamvi
Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT.
Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba.
Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya ubunge.Nia ilikuwa kumweka kando ya siasa za bongolala.
Spika Ndugai alipohoji mikopo holela alilazimishwa kujiuzulu.Dhambi yake kubwa tena isiyosameheka ilikuwa kuacha kumsifu Mama.Sina hakika labda Job Ndugai yuko kuzimu sasa.
Spika Tulia alipohoji sakata la KADCO alitenda dhambi kuu isiyosameheka akaweka kando,leo ni mbunge wa kawaida hata nafasi ya unaibu Waziri kaikosa.
Yuda wa Peramiho anazungumzia KATIBA MPYA.
Katiba mpya maana yake kupunguza au kuondoa nguvu za RAIS wa JMT.
Jambo hili si dogo hata kidogo machawa wa Mama,Machawa wa mfumo,Machawa wanufaikaji wa keki ya Taifa watamwacha salama !.
Yuda wa Peramiho alipewa assigment ya kulituliza kanisa Catholic kwakuwa yeye ni mkatoliki akagoma sasa anakuja na mashairi ya KATIBA MPYA ambayo itamfanya Rais wa JMT kuwa Rais wa kawaida na si Mungu mtu ataachwa salama na mfumo kandamizi.
Ngongo kwa sasa Mbeya kwa Sheikh Mwaipopo.
Fbn na vpn damdamNamba ya shaikh mwaipopView attachment 3636353
Ni lini na nani aliwateua kuwa wasemaji wa mabaya ya Samia?Hawa watu wasituchanganye akili. Huwa ''wanavujisha'' habari za uongo, za kuwasaidia wao. Majaliwa na Tulia mpaka sasa wako beneti na Samia. Hawajasema lolote kuhusu ubaya wa Samia. Sisi ndiyo tuwasemea. Ajabu gani.
Waondoke wote, CCM, Nchimbi, Samia , Muungano na likatiba lao la hovyo la mwaka 1977Heshima sana wanajamvi
Mheshimiwa Rais Samia alishindwa kufanya kazi na Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa JMT.
Katika harakati za mfifisha Majaliwa akaunda nafasi ya Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kikatiba.
Ulipofika muda wa uchaguzi mkuu Majaliwa hakuruhusiwa hata kuchukua fomu ya ubunge.Nia ilikuwa kumweka kando ya siasa za bongolala.
Spika Ndugai alipohoji mikopo holela alilazimishwa kujiuzulu.Dhambi yake kubwa tena isiyosameheka ilikuwa kuacha kumsifu Mama.Sina hakika labda Job Ndugai yuko kuzimu sasa.
Spika Tulia alipohoji sakata la KADCO alitenda dhambi kuu isiyosameheka akaweka kando,leo ni mbunge wa kawaida hata nafasi ya unaibu Waziri kaikosa.
Yuda wa Peramiho anazungumzia KATIBA MPYA.
Katiba mpya maana yake kupunguza au kuondoa nguvu za RAIS wa JMT.
Jambo hili si dogo hata kidogo machawa wa Mama,Machawa wa mfumo,Machawa wanufaikaji wa keki ya Taifa watamwacha salama !.
Yuda wa Peramiho alipewa assigment ya kulituliza kanisa Catholic kwakuwa yeye ni mkatoliki akagoma sasa anakuja na mashairi ya KATIBA MPYA ambayo itamfanya Rais wa JMT kuwa Rais wa kawaida na si Mungu mtu ataachwa salama na mfumo kandamizi.
Ngongo kwa sasa Mbeya kwa Sheikh Mwaipopo.
Wale hawawezi kusema ubaya wa Samia angali huyu samia ana Nguvu za uraisi wa kifalme usitegemee hili,hata samia akimaliza uraisi wake watakuwa kimya tu lakini damage kawafanyiaHawa watu wasituchanganye akili. Huwa ''wanavujisha'' habari za uongo, za kuwasaidia wao. Majaliwa na Tulia mpaka sasa wako beneti na Samia. Hawajasema lolote kuhusu ubaya wa Samia. Sisi ndiyo tuwasemea. Ajabu gani.
Ungesoma kwanza uelewe kijembe changu badala ya kuelewa mambo literally, kama mtoto mdogo. Mijadala mingine siyo lazima kila mtu ashiriki.Ni lini na nani aliwateua kuwa wasemaji wa mabaya ya Samia?
Imma atapewa kesi y ugaidiMwaipopo ataanza lini kumtukana Imma?
Sawa mtu mzima unayeelewa mambo kwa spidi ya mwanga.Ungesoma kwanza uelewe kijembe changu badala ya kuelewa mambo literally, kama mtoto mdogo. Mijadala mingine siyo lazima kila mtu ashiriki.
Una habari kuna ambao wameteuliwa na wakakubali? Sisi ni akina nani kuwasemea watu wazima ambao bado wanaitumikia system ambayo mnasema imewaonea?Wale hawawezi kusema ubaya wa Samia angali huyu samia ana Nguvu za uraisi wa kifalme usitegemee hili,hata samia akimaliza uraisi wake watakuwa kimya tu lakini damage kawafanyia
😰Heshima sana wanajamvi