Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kuanzia leo Septemba 09 hadi 11, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe pamoja Mkuu wa Mkoa wa Arusha CPA Mhe. Amos Makala wameongoza viongozi wa Serikali na Chama cha Mapinduzi kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Arusha.