peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna watu hakfanyi mambo yenu huku mkiteswa na mzimu wa Marehemu bila nyinyi kujijua. Mtaangamiza kizazi chenu.Hizo ndizo baraka alizoziacha mwendakuzimu
Kimejaa maiti na hakuna mahali pa kuweka maiti zingine Mkuu.Chumba cha maiti hospitali ya mawenzi kina hali mbaya sana jamani
Hii habari inasemwa sana....Chumba cha maiti hospitali ya mawenzi kina hali mbaya sana jamani
Mkuu wa mkoa ,RAS,DC,Das, viongozi wa dini, daktari wa mkoa wa Kilimanjaro wote wamepiga kimyaHii habari inasemwa sana....
Ninatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla.
Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja . Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu wengi . Mkuu wa mkoa amepiga kimya, watu wanaokufa ni wengi Hadi watumishi wa umma wanakaribia kufukuzwa kazi kwa kuomba ruhusa za Kila siku kwenda kuzika ndugu zao.
Kibo pharmacy Moshi Nako Kuna kilio Leo japo ni wauzaji wa madawapolen ,tuendelee kujilinda dhidi ya covid 19
Umefanya jambo kubwa sana kuufungua umma ufahamuNinatuma Uzi huu, kuijulisha serikali ya Tanzania kuwa Hali za wananchi ni mbaya kiafya huko Moshi mjini na Kilimanjaro Kwa ujumla.
Wanaozaliwa ni wachache kuliko wanaofariki Kwa siku moja . Hali ya ugonjwa wa corona ni mbaya sana na kuna Haja ya serikali kuzuia misongamano, mazishi ya watu wengi . Mkuu wa mkoa amepiga kimya, watu wanaokufa ni wengi Hadi watumishi wa umma wanakaribia kufukuzwa kazi kwa kuomba ruhusa za Kila siku kwenda kuzika ndugu zao.
ItatumalizaRimoti control iliyopo Busoga ndio nguzo kuu hata BANDARI YA FAMILIA BWAGGAPESA
Mkuu Hali ni mbaya mbaya sanaUmefanya jambo kubwa sana kuufungua umma ufahamu
Sad hawajali kwakuwa wao wamejichanjaMkuu Hali ni mbaya mbaya sana