Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

Aisee ni hatari sana Mungu atusimamie kwenye hili maana wao badala ya kujadili hili tatizo wameona la msingi ni kukuza uchumi kupitia mitandao huku Wananchi wakizungukwa na magonjwa Nchi ya ajabu sana hii ule upendo tuliokua nao sijui umepotelea wapi Watanzania...
 
Mkuu maisha yako wewe ni kutukana tuu undhani kutukana ni ujanja na wengine kutukana hawajui jambo hili unatumia maneno ya hovyohovyo...
Sasa unataka ukiandika upupu nikurembe na kukuchombeza na kukupapasa na kukuchekea?Kati ya kuandikia watu upupu na kutukanwa lipi ni baya zaidi?Yaani wewe utuandikie sisi upupu halafu sisi tukuchombeze?!Akili za wapi hizi!!

Yaani viongozi walewale waliokuwa wanapinga uwepo wa Corona Tanzania leo anawaambia kuwa washughulikie janga la Corona,wewe unaona kuwa huyu mtu yupo sawa kuchwani?
 
Uzi umekaa kutishia kwa kiwango cha lami serikali imesema corona ipo watu wafate miongozo ya afya .wakati huo inafanya jitihada kuingiza chanjo nchini sasa mnataka serikali isemeje tena kila siku mh rais anaimiza corona ipo tena alisema kabisa alikwenda mwananyamala hosp dr akamwambia kuna wagonjwa wanashida ya kupumua akasema sema ukweli sio corona dr akajibu corona.na kila anapotoka na kuutubia akiwa na batakoa na anasisitiza watanzania ugonjwa upo tuvae barakoa tunawe mikono tupunguze mikusanyiko isiyo lazima au mlitaka lock down maisha ayo atuyawezi uko ulaya wanashindwa sasa uku tutaweza
Mungu tuzidi kukuomba uzidi kutulinda na huu ugonjwa
Mungu bariki tanzania mungu bariki rais wetu mamasamia na serikali yake ameen
 
Watakufa na wengine watabaki,only a strongest can survive
Changamoto iliyo kubwa ni kwamba wote wanaokufa Kilimanjaro ni wale wenye tin number na wanajulikana TRA. Wanaobaki uraiani hawana tin number Wala hawajulikani TRA.
 
Na hapa Mwanza je? Na Uganda je?
Mbowe ameshaanza kujuta tayari
20210718_011757.jpg
 
Kufa ni kawaida na kila mtu atakufa. Shida iko wapi?
 
Wewe huna akili kabisa!Serikali iliyokuwa inapinga uwepo wa Corona ndiyo unaiambia kuwa iingilie suala la ugonjwa wa Corona?!

Yaani waziri yuleyule wa afya aliekuwa anapinga uwepo wa Corona ndiye leo unamwambia kuwa aingilie suala hili?Akili za wapi hizi?

Watanzania ni kama hufikiri kwa kutumia funza badala ya akili.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Msemakweli Ni Mpenzi Wa Mungu
 
Kibo pharmacy Moshi Nako Kuna kilio Leo japo ni wauzaji wa madawa
Yawezekana ni kweli maana nimepita pale nje ya hospitali ya Mawezi, Kilimani pharmacy kuna magari ya kuelekea kwny mazishi yanasubiri kuchukia maiti
 
Acha ya moshi watanzania waelimishwe kuhusu kupokea msiba hii ya kifua kubana.

Hapa mtaani katangulia Mtumishi mmoja, watu wana jaa ndani hata gari iliyobeba mwili wapo ambao hawakuvaa mask.

Elimu ni muhimu
 
Yawezekana ni kweli maana nimepita pale nje ya hospitali ya Mawezi, Kilimani pharmacy kuna magari ya kuelekea kwny mazishi yanasubiri kuchukia ma
Idadi ya watu Waliofariki katika Kwa muda wa masaa 24 , hospital ya KCMC na Mawenzi Hadi Leo saa 7 mchana ni watu 42
 
Back
Top Bottom