Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Mkuu maisha yako wewe ni kutukana tuu undhani kutukana ni ujanja na wengine kutukana hawajui jambo hili unatumia maneno ya hovyohovyo...Wewe huna akili kabisa!Serikali iliyokuwa inapinga uwepo wa Corona ndiyo unaiambia kuwa iingilie suala la ugonjwa wa Corona?!Akili za wapi hizi?
Sasa unataka ukiandika upupu nikurembe na kukuchombeza na kukupapasa na kukuchekea?Kati ya kuandikia watu upupu na kutukanwa lipi ni baya zaidi?Yaani wewe utuandikie sisi upupu halafu sisi tukuchombeze?!Akili za wapi hizi!!Mkuu maisha yako wewe ni kutukana tuu undhani kutukana ni ujanja na wengine kutukana hawajui jambo hili unatumia maneno ya hovyohovyo...
Changamoto iliyo kubwa ni kwamba wote wanaokufa Kilimanjaro ni wale wenye tin number na wanajulikana TRA. Wanaobaki uraiani hawana tin number Wala hawajulikani TRA.Watakufa na wengine watabaki,only a strongest can survive
Moshi wanatumikia laana ya kushangilia kifo cha mwendazake
Mbowe ameshaanza kujuta tayariNa hapa Mwanza je? Na Uganda je?
Mbowe ameshaanza kujuta tayariView attachment 1857624
Ndiyo Ukweli WenyeweWewe huna akili kabisa!Serikali iliyokuwa inapinga uwepo wa Corona ndiyo unaiambia kuwa iingilie suala la ugonjwa wa Corona?!
Yaani waziri yuleyule wa afya aliekuwa anapinga uwepo wa Corona ndiye leo unamwambia kuwa aingilie suala hili?Akili za wapi hizi?
Watanzania ni kama hufikiri kwa kutumia funza badala ya akili.
Nawe umeona kama mimi, huyu jamaa siku hizi sijui kapatwa na nini....🤷Mkuu maisha yako wewe ni kutukana tuu undhani kutukana ni ujanja na wengine kutukana hawajui jambo hili unatumia maneno ya hovyohovyo...
Yawezekana ni kweli maana nimepita pale nje ya hospitali ya Mawezi, Kilimani pharmacy kuna magari ya kuelekea kwny mazishi yanasubiri kuchukia maitiKibo pharmacy Moshi Nako Kuna kilio Leo japo ni wauzaji wa madawa
Idadi ya watu Waliofariki katika Kwa muda wa masaa 24 , hospital ya KCMC na Mawenzi Hadi Leo saa 7 mchana ni watu 42Yawezekana ni kweli maana nimepita pale nje ya hospitali ya Mawezi, Kilimani pharmacy kuna magari ya kuelekea kwny mazishi yanasubiri kuchukia ma
Hizo ndizo baraka alizoziacha mwendakuzimu