Tetesi: Waziri Mkuu tembelea mortuary za Hospitali za KCMC na Mawenzi Mkoa wa Kilimanjaro kuna Jambo muhimu

pumbavu wakati wake haikuwa hivi unamsingizia

Hii kitu yaenda kwa mawimbi mjomba. Linalokuja ni kali kuliko lilopita.

Atalaumiwa yeyote kwa kila la baadaye kwa kutodhibiti la wakati wake.
 
Wewe ndugu zako wamekufa wangapi? Waambie wamrudie Mwenyezi Mungu wamezidi kufanya dhambi.
 
Idadi ya watu Waliofariki katika Kwa muda wa masaa 24 , hospital ya KCMC na Mawenzi Hadi Leo saa 7 mchana ni watu 42
Hiyo ni idadi kubwa sana, je watu wanaitikiaje njia za kujikinga hasa kuvaa barakoa, sanitizer, kupunguza pilika pilika hasa kwa wazee kukaa nyumbani......au vikao vya kwenye mbege bado vinaendelea. Mimi bado naamini jamii kuchukua tahadhari zaidi za kujikinga na labda matumizi ya dawa zetu za asili, nyungu nk.
 
PPRA Nako naona kilio kimehamia huko
 
Mkuu wewe na mrisho mna tungo kabisa.
 
Mungu asaidie asee

Nafikiri na hii baridi inaongeza kitu kwenye haya maambukizi

Mungu ailinde Moshi.
 
Hii habari ni tofauti na huu uchangiaji acha uchawi.
 
Nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…