Waziri Mkuu: Treni ya SGR kuanza majaribio Julai 2021

Waziri Mkuu: Treni ya SGR kuanza majaribio Julai 2021

Tarehe zinabadilika kila wakati. Ilikuwa iwe mwezi huu mara ya mwisho wamesema.
 
Afadhali angenyamaza tu. Mara ya kwanza tuliambiwa safari za majaribio kati ya Dar - Morogoro, ingekuwa 2019.

Kwa uwongo ule kuhusiana na afya ya Hayati Rais, huyu hastahili kuaminiwa katika lolote.
 
Afadhali angenyamaza tu. Mara ya kwanza tuliambiwa safari za majaribio kati ya Dar - Morogoro, ingekuwa 2019.

Kwa uwongo ule kuhusiana na afya ya Hayati Rais, huyu hastahili kuaminiwa katika lolote.
Kweli kabisa, mara ya kwanza tuliambiwa Nov 2019, hadi leo hii holaaa hakuna jipya...
 
mmh mie simuamini tena huyo mh. mpaka nione mwenyew kwa macho yangu hiyo tarehe ikifika!
 
Huu mwaka wa 5 bado wanatengeneza barabara ya juu ya treni Kariakoo.
Aliyedesign ile tren ipite juu Kariakoo na chizi kabisa au alidesign kwa matakwa yake.
Kuvutia watalii kama uwanja wa Chato....
 
Back
Top Bottom