Waziri Mkuu: Treni ya SGR kuanza majaribio Julai 2021

Hicho kipande cha Dar mpaka Pugu shida yake ni nini mbona hakisogei, au hiyo ardhi wakati mwingine huwa inahama?
Mkuu siyo Dar - Pugu tu; hata bandarini bado reli ya SGR haijafika.
 
Mkuu nakushauri uachane na kumquote huyo zuz.u, huwa hana akili. Alishatengwa na familia kwa kuwa tegemezi sababu ya kushinda mitandaoni. Ana very low thinking capacity.
Mkuu, mbona kama unamsema tundu lisu? Description uliyotoa hapa yani ni lisu kabisa.
 
Tunaelekea disemba sasa, hakuna matumaini
 
Kumbeeee! Aliyeniambia ni Mao atakuwa mwongo Sana!

..Reli ilijengwa wakati Mwalimu Nyerere ni Raisi ndio maana credits / sifa zinakwenda kwake.

..Hoja ambayo nilikuwa najaribu kuisisitiza ni muda uliotumika kukamilisha mradi wa ujenzi wa Tazara.

..Ndani ya miaka 5 ilijengwa reli toka Dar mpaka Kapirimposhi.

..Tukija kwenye SGR kipande cha Dar to Moro huu ni mwaka wa 4 bado hatujakabidhiwa. Tatizo ni nini?
 
Una hoja ya msingi sana,dar moro miaka mitano,dar kapirimposhi miaka mitano,sasa hivi technology imekua na wamepita pembeno ya reli ya zamani,miundombinu iko tayari,wanafeli wapi
 
Bila kuwa na uwajibikaji wa kauli za viongozi, tutacheza mpk sebene
 
iiii Bagisha!… Tunarudi nyuma tena? Ya yaaah !!
 
".. Magufuli yupo mzima anachapa kazi na kuwasalimia..." ----------Kasimu:-\😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…