Toka alivosemaga Mwamba yuko vzr anapiga kazi, sijawahi kumwamini tenaProfessional liar at work 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka alivosemaga Mwamba yuko vzr anapiga kazi, sijawahi kumwamini tenaProfessional liar at work 😂
Tena anasema uongo Msikitini kabisa jamani!Hakunaga NCHI YA DUBAI, Unadanganya waumini MAJALIWA😳
Lakini kawaida yake, maana hata wakati wa mwamba pia alitufunga kamba Mzee anashughulika na mafaili, kumbe .......Tena anasema uongo Msikitini kabisa jamani!
Hata Mimi nimeshangaa tunapewaje faraja hapa!!?Kutupa faraja tena? Faraja ya nini kama wanajiamini ni jambo jema kwa.maslahi mapana ya taifa?
Walituita wanyonge,sasa wanaona tunahitaji faraja.Kutupa faraja tena? Faraja ya nini kama wanajiamini ni jambo jema kwa.maslahi mapana ya taifa?
Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja WatanzaniHaku
View attachment 2672919
Hapa wanazidi kutuchanganya, hao watanzania wakishaipata hiyo elimu itawasaidia nini au wataitumia wapiAmesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
Kwani sisi watanzania tunataka farajaWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
Haaminiki,Hapa wanazidi kutuchanganya, hao watanzania wakishaipata hiyo elimu itawasaidia nini au wataitumia wapi
Huyu jamaa si ndiyo yule alitumika kuudanganya umma akiwa Msikitini Njombe? Anaaminika!?
Faraja yetu ni serikali kutusikiliza na kuvunja mikataba ya hovyo, period.Kwani sisi watanzania tunataka faraja
Dubai kweli ni NCHI? Naomba wataalamu watuelimisheWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
😂😂😂😂🤣🤣🤣Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
View attachment 2672919
AmenFaraja yetu ni serikali kutusikiliza na kuvunja mikataba ya hovyo, period.
Huyu mbulukenge,alidanganya kuhusu kifo Cha JPM,alidanganya kuhusu kuhamisha wamasai,sWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini