Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

Hatutaki "kuishi kwa matumaini" kwa maneno yao ya hamasa za kutufariji, tunataka kuona kwamba Mkataba wa DPW aidha unarekebishwa kulingana na mapendekezo au maoni yetu tunayotoa sisi Wananchi au Mkataba husika unavunjwa na sisi wananchi kupatiwa taarifa yote yenye uthibitisho wa nyaraka kuonyeshwa kwamba mkataba huo kweli umevunjwa.
Hatutaki blah blah na porojo za maneno kwani kwa kiasi kikubwa tayari tumeshapoteza Imani nao, wametuuza utumwani.
Aidha, tunataka kuona Wasaliti wote waliouza nchi yetu kwa wageni wanashuhhulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa Sheria. Marehemu JPM alishatuambia kwamba "msaliti" dawa yake ni moja tu, tunataka kuona "dawa hiyo" wakipewa au ikitumika "kuwatibu wasaliti wa DPW".
 
chadema wamekua na mtandao wa kusambaza chuki na hofu sana kwa watanzania
 
Amesema “Nataka niwahakikishie Serikali yenu makini tumesikia hili na tunaendelea kufuatilia mijadala hiyo na hasa zile hofu na kwa kweli tumeanza kutoa elimu za kuwapa faraja Watanzania”
Hapa wanazidi kutuchanganya, hao watanzania wakishaipata hiyo elimu itawasaidia nini au wataitumia wapi

Huyu jamaa si ndiyo yule alitumika kuudanganya umma akiwa Msikitini Njombe? Anaaminika!?
 
Kwani sisi watanzania tunataka faraja
 
Hapa wanazidi kutuchanganya, hao watanzania wakishaipata hiyo elimu itawasaidia nini au wataitumia wapi

Huyu jamaa si ndiyo yule alitumika kuudanganya umma akiwa Msikitini Njombe? Anaaminika!?
Haaminiki,
Hana uzalendo wowote.
Sema tu mambo ya connection.
Lakini alipaswa kuwa alishajiuzuru zamani
 
Dubai kweli ni NCHI? Naomba wataalamu watuelimishe
 
😂😂😂😂🤣🤣🤣
 
Haya walipaswa wafikirie kabla ya Bunge kuamua. Kwanini wasirihusu mijadala kabla ya kuwasilisha bungeni?
 
Hivi falsafa ya CCM ilishabadilika toka kuwa chama Cha wakulima na wafanyakazi Hadi kuwa chama Cha wenye fedha? Nyerere aliona mbali Sana alijua chama linaweza kutekwa na wenye ukwasi na ndiyo wanaoshabikia mkataba huu uendelee Kama ulivyo bila mabadiliko,CCM hatimaye imewekwa rasmi mfukoni na wenye fedha,tukumbusheni Tena leo falsafa ya CCM ya mwalimu imebadilika umekuwa yaaje kweli?
 
Huyu mbulukenge,alidanganya kuhusu kifo Cha JPM,alidanganya kuhusu kuhamisha wamasai,s
 
Binafsi mimi ni mwanaccm kindakindaki, lakini kwenye hili la bandari mama umeupiga mwingi🤣🤣🤣 historia ya nchi hii imeandikwa hatakuja kutokea rais mwanamke tena. Umetuangusha sa💯, umetuuza kwa vipande 20 vya silva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…