Ni aibu iwapo huyu bibi kakuzidi maarifa ya kujikinga na corona. Hujui mchango wa viatu katika kusambaza virusi hivi?
Hasira za bure
Sidhani kama watakuelewa.......labda yule Shoo.
Twende twende twende.
Hii imeonyesha wazi kuwa dini faida yake ni kustaarabisha jamii tu.
They can't do far from that.
Watu wa dini wangekuwa wanaweza kufanya zaidi ya hilo wasingepangiwa ratiba
Kwa taarifa yako hadi sasa hakuna hatua yoyote au maarifa ya kipekee iliyochukuliwa na serikali yetu katika kupambana na corona ambayo ni tofauti na nchi nyingine.Ukiwa unaendesha familia yako halafu ukataka kuiga mtindo wa jirani yako anavyoongoza familia yake, ujue wewe ni kidume suruali,
Semea nchi yako wewe unaonaje?
Wataalamu gani wa Afya?Ili kujikinga na hili janga, sikiliza wataalamu wa afya.
Muonee huruma bibi wetu hajawahi ona maji yakitiririka kwenye bomba tangu tupate uhuru wa bendera Hapa kwanini asichanganyikiwe?
Niliishanga sana Serikali kufunga vyuo na shule na kuacha misikiti na makanisa..kufunga madrasa na sunday schools ni jambo zuri.
..lakini nadhani kuachia ibada ziendelee tutakuwa tunarudisha nyuma mafanikio na faida za kufunga madrasa na sunday school.
..Je, watoto hawaruhusiwi kwenye hizo ibada ambazo serikali imeruhusu ziendelee?
Sio siasa hii bali ni ujuha.Tatizo siasa zimewekwa mbele kwenye kila kitu kinachofanyika hapa Tz.
Lengo ni COVID-19 isienee maeneo mengine nje ya Dar es salaamJe Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app