Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihiTwende twende twende.
Hii imeonyesha wazi kuwa dini faida yake ni kustaarabisha jamii tu.
They can't do far from that.
Watu wa dini wangekuwa wanaweza kufanya zaidi ya hilo wasingepangiwa ratiba
Lengo lake utalionaJe Kwanini Mbowe ana taka wa dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku zinakuja, mtamuelewa tuJe, Kwanini Mbowe anataka wa Dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende twende twende.
Hii imeonyesha wazi kuwa dini faida yake ni kustaarabisha jamii tu.
They can't do far from that.
Watu wa dini wangekuwa wanaweza kufanya zaidi ya hilo wasingepangiwa ratiba
Ana malengo mazuri kua watu tusiendelee kuambukizana. Mh.Mbowe ana akili sana katika ili. Watu wakikaa ndani kwa wiki moja au mbili kuna uwezo mkubwa kwa kuzuia maambukizi.Pia Serikali ina pesa nyingi tu na chakula cha kuwapa wananchi.Je,wewe unaeshangilia mikusanyiko una malengo gani na nchi yetu?Je, Kwanini Mbowe anataka wa Dar tufungiwe ndani?
Analengo gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa ya sadaka
Viongozi wa makanisa na misikiti hamuoni aibu mkatangaza kusitisha ibada zenu?
Au ndio mnataka hadi serikali iwaambie fungeni nyumba zenu za ibada?
Kupitia kauli hii ya waziri mkuu nadhani kama watu wazima mnaojali afya za watanzania na nyie pia, mnapaswa kujiongeza.
Jiongezeni!
Point yangu iko wazi sana. Labda kama hujaielewa. Hatuwezi kuendeshwa kwa remote na Saudia au Italy. Kama tunafanya maamuzi au tunashauri maamuzi yafanyike basi iwe ni kwa sababu ya faida yake na sio kwa kuangalia Rome na Mecca as if wao walipewa vichwa vyenye akili sisi tukapewa maboga. Hicho ndio nakataa na nitaendelea kukikataa.
Kwamba ibada zikifanyika kwa muda mfupi ndio CORONA haiwezi kusambaa makanisani na msikitini
Sandenyi bulai umenikumbusha mabasi ya Andrea Mtangoo yaliyo kuwa yanakwenda Nala yalikuwa ya babu yako bulai?Ale mabuya lece ciwalecele yono muzimanyile nkhani.