Waziri Mkuu: Tutabana matumizi yasiyo ya lazima ili kukabiliana na athari za kiuchumi zinazoendelea duniani

Waziri Mkuu: Tutabana matumizi yasiyo ya lazima ili kukabiliana na athari za kiuchumi zinazoendelea duniani

Kila uchwao tunaona msafara wake umejaa magari ya kifahari ya bei mbaya aanze kwa vitendo yeye mwenyewe kwanza sio kutafuta sifa majukwani kila siku wakati haishi anachokihubiri majukwaani
 
View attachment 3566067

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akijibu ameyasema hayo Bungeni katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu wakati akijibu swali la Mbunge Ado Shaibu kuhusu hatua za Serikali wanazochukua ili kukabiliana na athari za kiuchumi kutokana na vita inayoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.
Halafu wanakimbiza mwenge!
 
Back
Top Bottom