Waziri Mkuu: Unatibiwa Zanzibar ukiwa na NHIF, bila kujali upande wa Muungano

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara. Amesisitiza kuwa kinachoangaliwa si mtu ametoka upande gani wa Muungano, bali ni uwepo wa kadi halali ya bima inayomwezesha kupata huduma za matibabu.

Aidha, amesema kuwa watu wasiokuwa na kadi ya bima wanapaswa kulipia huduma kwa fedha taslimu, na utaratibu huo unatumika kwa pande zote za Muungano. Ameeleza kuwa hakuna changamoto ya kimahusiano kuhusu matumizi ya rasilimali au utoaji wa huduma kati ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Soma: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

"Kuhusu ngazi ya matibabu, huyu katokea upande huu, huyu katokea upande huu. Hakiangaliwi kutibiwa kuwa umetokea upande gani, kinachoangaliwa je, una kadi hiyo ya bima ili uweze kutumia bima. Kama huna kadi ya bima unatakiwa ulipe keshi. Na hii ni kwa pande zote za Muungano."

Viongozi wa Tanganyika wanaupumbavu sana.zanzibar kama huna kitambulisho sha mzanzibar kuanzia siku ile alipozungumza waziri wao wa afya mkuya huwezi kutibiwa.Lazima urudi Tanganyika kutibiwa na usiporudi unaweza kujifia.baadhi ya wanatanganyika nimewaona wakirudi nyumbani kutibiwa
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara. Amesisitiza kuwa kinachoangaliwa si mtu ametoka upande gani wa Muungano, bali ni uwepo wa kadi halali ya bima inayomwezesha kupata huduma za matibabu.

Aidha, amesema kuwa watu wasiokuwa na kadi ya bima wanapaswa kulipia huduma kwa fedha taslimu, na utaratibu huo unatumika kwa pande zote za Muungano. Ameeleza kuwa hakuna changamoto ya kimahusiano kuhusu matumizi ya rasilimali au utoaji wa huduma kati ya Tanzania Bara na Zanzibar.

"Kuhusu ngazi ya matibabu, huyu katokea upande huu, huyu katokea upande huu. Hakiangaliwi kutibiwa kuwa umetokea upande gani, kinachoangaliwa je, una kadi hiyo ya bima ili uweze kutumia bima. Kama huna kadi ya bima unatakiwa ulipe keshi. Na hii ni kwa pande zote za Muungano."

Sisi tunachohoji, kama Tanzania ni moja kwanini watu wa bara wanaoishi Zanzibar wanyimwe matibabu card? Sasa hapo maana ya muungano ni nini ikiwa watu wa Tanganyika ndani ya Zanzibar ni kama tu wakenya?

Maccm mapumbavu yanatupa mzigo wa kuyalea mazanzibari kisa tu siasa zao za majitaka. Pumbavuuuu
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara. Amesisitiza kuwa kinachoangaliwa si mtu ametoka upande gani wa Muungano, bali ni uwepo wa kadi halali ya bima inayomwezesha kupata huduma za matibabu.

Aidha, amesema kuwa watu wasiokuwa na kadi ya bima wanapaswa kulipia huduma kwa fedha taslimu, na utaratibu huo unatumika kwa pande zote za Muungano. Ameeleza kuwa hakuna changamoto ya kimahusiano kuhusu matumizi ya rasilimali au utoaji wa huduma kati ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Soma: Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

"Kuhusu ngazi ya matibabu, huyu katokea upande huu, huyu katokea upande huu. Hakiangaliwi kutibiwa kuwa umetokea upande gani, kinachoangaliwa je, una kadi hiyo ya bima ili uweze kutumia bima. Kama huna kadi ya bima unatakiwa ulipe keshi. Na hii ni kwa pande zote za Muungano."

​
View attachment 3610450
well done PM Dr Mwigulu.

Yes,
it's simple and clear like that 👊
 
Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali
Choni Mnyangu
 
Back
Top Bottom