Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa.
Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo toka kwa Waziri huyo wa nchi mwanachama wa NATO, Bulgaria, umejiri baada ya waziri wa Ulinzi wa Bulgaria kutumia neno 'oparesheni ya kivita' akielezea mapigano ya Russia nchini Ukraine ambapo Waziri Mkuu ameng'aka kuwa hilo si neno sahihi kutumika kwani maelfu ya wanajeshi wa pande zote mbili (wanajeshi wa Ukraine na wa Russia) wameuawa na hivyo hiyo ni vita kamili sio operesheni ya kijeshi.
Kauli ya Waziri Mkuu huyo juu ya maelfu ya wanajeshi wa Ukraine kuuawa kwenye vita hivyo inatiwa nguvu na kile Rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, alichokifanya kuwapa silaha raia wa kawaida wa Ukraine wasio na ujuzi wowote wa mapigano ya vitani na kuwataka wasaidie jeshi la nchi hiyo kupambana na majeshi ya Russia huku raia hao wakijificha kwenye mavazi ya kiraia. Rais huyo akaenda mbali zaidi kwa kuwaomba hata raia kwenye nchi nyinginezo duniani, ikiwemo Afrika, wasafiri kwenda kupewa bunduki wasaidie jeshi la nchi hiyo llilozidiwa nguvu na majeshi ya Urusi.
======
www.reuters.com
"My defence minister cannot use the word operation instead of the word war. You cannot call it an operation when thousands of soldiers from the one and the other side are already killed," Petkov said in a televised statement.

Bulgarian defence minister sacked over Ukraine rhetoric
Bulgarian Prime Minister Kiril Petkov on Monday fired Defence Minister Stefan Yanev for his reluctance to describe the Russian invasion of Ukraine as a war, reiterating that Sofia would speak in one voice with the European Union.