Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuelewa inawezekanaje hii ya raia wote kuondoka . Anyway ngoja tusubiri kuona itatekelezekaje hii.Muda ni kila kitu. Jana Ukraine wamepewa muda kuondoa raia kiev. Kitakachofuata sisi hatumo.
Aendelee na comedy zake ku.
Wanatakiwa waondoke kiev. Kama Ukraine hataki kuwaondoa basi ni yeye lakini kapewa warning.Nashindwa kuelewa inawezekanaje hii ya raia wote kuondoka . Anyway ngoja tusubiri kuona itatekelezekaje hii.
Immortal wao!Vipi Wanajeshi wa Russia wenyewe hawafi kwa maelfu?
Jamaa unavyojipendekeza utafikiri kuna mrusi hata mmoja anaekujua, kweli ujinga ni kazi
Lengo la Putin ni kuiondoa serekali ya Ukraine na kupandikiza kibaraka wake mfano wa lukashenko unafikiri we ndo mjinga ambaye mpaka sahivi hujui Lengo la putin
Sergey lavrov na Putin wameshaongea sana lengo lao la Vita lakin Cha ajabu wewe ndo hujui
View attachment 2134789
wana sema kuna msafara wa vyombo hatari vya Russia wenye urefu wa 3. 5km una karibia Tuwaombeya Ukraine wanaenda kuumia!! kibaya zaidi ni Raia kupewa silaha majengo yata shushwa vibaya sana!
Wako wanabwabwaja hapa badala ya kufunga safari kwenda Ukraine kusaidia jeshi la nchi lililozidiwa nguvuWaukraine wa huku mkuranga haya mmeitwa huko na mkifika hampewi bunduki ,mtapewa rungu tu mana jamaa kwa ubaguzi hawajambo
Nimeona kasema kyiev..yaani mji siyo nchiSource ya hii habari sababu hakuna sehemu yeyote imeripotiwa, Ukraine waondoke waende wapi Ile ni nchi yao
Mtu aje Tanzania atuambie ondoken Tanzania kirahisi rahisi tumtii maisha sio marahisi hivyo
Mkuu ni msafara wa urefu wa kilomita 64 (maili 40, yaani urefu wake ni sawa na umbali toka Dar es Salaam hadi Mlandizi)wana sema kuna msafara wa vyombo hatari vya Russia wenye urefu wa 3. 5km una karibia Tuwaombeya Ukraine wanaenda kuumia!! kibaya zaidi ni Raia kupewa silaha majengo yata shushwa vibaya sana!
Kwani vita imeisha?Kwenye vita lazima wanajeshi watakufa hakuna ajabu apo, swali la kujiuliza Lengo la Putin limetimia jibu ni kwamba halijatimia
Akili kiduchu.. umeanza kufuatilia matukio ya vita jana? Mbona huyo USA hakufanya hizo mbinu kule Iraq, afghanistan, libya nk... iliingiza jeshi mazima..Mtazamo wangu:
Ingekuwa ni USA angekuwa na mkakati wa muda mrefu sana ambapo angehakikisha anafanya Propaganda kumchonganisha Rais kwa wananchi wake ili wakose imani naye, na iwapo hiyo ingeshindikana nadhani wangefanya kila namna kumuondoa Rais kimafya hata kwa kumpandikizia Ugonjwa. Mwisho anapatikana Rais nwingine Pandikizi atakayelinda maslahi yao.
Na katika Ku maintain trust angekuwa anatetea demokrasia na haki za binadamu kwa wananchi na kutoa misaada. Yaani full kujipendekeza na unafiki.
Tofauti na alichofanya Putin na hatua aliyochukuwa ambayo inamgharimu vibaya Kiuchumi, Mahusiano na hata Mahusiano yake ndani ya nchi , pia heshima yake imeshuka sana. Nadhani Russia haogopwi kama awali na nchi zingine zinaweza kumtunishia kifua kuwa HATISHI KIHIIIVYO
Marekani wapo vizuri sana katika Mikakati ya muda mrefu.
Mbulula kweli yani ao marekani wanasubiri nini kuwaasave Ukraine ,,, Hivii Russia aende kuweka nguvu kwa nchi jirani na Marekani unafikiri Nini kingetokea, ndo hatua anazochukuwa Russia,Swala sio majeshi ya Ukraine kuzidiwa nguvu, swala ni kwamba Putin hapa amewaka na anajichimbia kaburi.
Russia hawawezi kuwa na akili kushinda nchi za magharibi, hilo halipo kabisa na mlifutilie mbali. Putin ameweka rehani utawala wake. Time will prove me right.
Ndugu kuna watu wanalopoka kwa kitu wasichokuwa na uelewa nachoMbulula kweli yani ao marekani wanasubiri nini kuwaasave Ukraine ,,, Hivii Russia aende kuweka nguvu kwa nchi jirani na Marekani unafikiri Nini kingetokea, ndo hatua anazochukuwa Russia,
Mbona hakuna sehemu aliyosema maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa? mbona habari inaandikwa kishabiki sanaPamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua kusema ukweli kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wameuawa mpaka sasa.
Ufafanuzi huo wa idadi ya vifo toka kwa Waziri huyo wa nchi mwanachama wa NATO, Bulgaria, umejiri baada ya waziri wa Ulinzi wa Bulgaria