Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

Waziri mkuu wa Bulgaria akiri kuwa maelfu ya wanajeshi wa Ukraine wamekufa vitani

Wewe utakuwa ni mzito sana kuelewa aisee, huwezi kuchambua vitu mwenyewe ila mpaka utafuniwe kila kitu (spoon feeding).

Ngoja nikutafunie kila kitu sasa ili upate faida kulingana na upeo wako wa akili.

Ni hivi kwa mujibu wa Ukraine na vyombo vya magharibi wao wanadai kuwa wanajeshi wa Ukraine waliouawa ni kiduchu kwa maana hawafiki hata 500 (kama wewe mjuvi una data zozote zinazoripoti tofauti na hivyo ziweke hapa chini).

Izo stori za wanajeshi wa Russia waliokufa sio lengo langu kuleta huu uzi (rudia tena kusoma topic ya uzi huu), kwani vyombo vya magharibi na Ukraine vimedai kuwa ni zaidi ya wanajeshi 5000 wa Russia wamekufa (sitaki kujadili hizo data za kupika). Ila wakati huo huo rais wa Ukraine alitaka msaada wa raia wa kawaida waingie kusaidia jeshi kupambana na majeshi ya Russia. Si hivyo tu akawaomba raia wa nchi hadi za duniani kote hadi Afrika wafafiri wakapewe bunduki wapigane na Russia (hapa napo kwa akili yako ilivyo mpaka nikutafunie i.e. nikuchambulie kuwa hali hiyo yaonesha majeshi ya Ukraine yalizidiwa nguvu).
Wewe ukienda hapo moscow unaonekana nyani tu hamna mtu atakua na muda na wewe! Huu muda unaopoteza kuleta habari zako uchwara ni bora ufanye issue ya maana ikuingizie kipato
 
Wewe ukienda hapo moscow unaonekana nyani tu hamna mtu atakua na muda na wewe! Huu muda unaopoteza kuleta habari zako uchwara ni bora ufanye issue ya maana ikuingizie kipato
Alisikika mUkraine mmoja wa Tandahimba baada ya mada kumchoma moyoni, ambaye yeye akisoma au kokoment mada hapa JF a analipwa pesa
 
Nakushangaa unavyohangaika na vithread vyako uchwara utadhani putin ameoa kwenye ukoo wenu🤣🤣
Mkuu mbona wateseka sana? Kama kweli waumia sana si usafiri uende Ukraine ukakabidhiwe bunduki ulisaidie jeshi la Ukraine kupambana na majeshi ya Russia? Au hujaona wito wa rais wa Ukraine akiwataka muende huko? Visa hutaulizwa.
 
Source ya hii habari sababu hakuna sehemu yeyote imeripotiwa, Ukraine waondoke waende wapi Ile ni nchi yao

Mtu aje Tanzania atuambie ondoken Tanzania kirahisi rahisi tumtii maisha sio marahisi hivyo
Hili nalo linafikirisha sana!
Na tumshukuru Mungu warusi hawataki kuulia mbali raia wasio na hatia!
 
Source ya hii habari sababu hakuna sehemu yeyote imeripotiwa, Ukraine waondoke waende wapi Ile ni nchi yao

Mtu aje Tanzania atuambie ondoken Tanzania kirahisi rahisi tumtii maisha sio marahisi hivyo
Haya chukua source ya habari uliyoulizia
 
Muda ni kila kitu. Jana Ukraine wamepewa muda kuondoa raia kiev. Kitakachofuata sisi hatumo.

Aendelee na comedy zake ku.
sisi leo tutapeleka moto wa ajabu pale KIEV watajijua wenyewe kutapokucha maana wanaongozwa na rais wa hovyo kuwahi kutokea
 
Mtazamo wangu:

Ingekuwa ni USA angekuwa na mkakati wa muda mrefu sana ambapo angehakikisha anafanya Propaganda kumchonganisha Rais kwa wananchi wake ili wakose imani naye, na iwapo hiyo ingeshindikana nadhani wangefanya kila namna kumuondoa Rais kimafya hata kwa kumpandikizia Ugonjwa. Mwisho anapatikana Rais nwingine Pandikizi atakayelinda maslahi yao.

Na katika Ku maintain trust angekuwa anatetea demokrasia na haki za binadamu kwa wananchi na kutoa misaada. Yaani full kujipendekeza na unafiki.

Tofauti na alichofanya Putin na hatua aliyochukuwa ambayo inamgharimu vibaya Kiuchumi, Mahusiano na hata Mahusiano yake ndani ya nchi , pia heshima yake imeshuka sana. Nadhani Russia haogopwi kama awali na nchi zingine zinaweza kumtunishia kifua kuwa HATISHI KIHIIIVYO

Marekani wapo vizuri sana katika Mikakati ya muda mrefu.
anaeweza kumtunishia RUSSIA kifua akapeleke majeshi kumsaidia UKRAINE mnaongea kama mna njaa eeh[emoji848]
 
Mkuu naunga mkono hoja Wanajeshi wa Ukraine wanauliwa sana kama kuku sema western media hazioneshi kabisa wa wamebase kwenye propaganda wakati Russia anashusha mvua ya mabomu
 
Kwenye vita lazima wanajeshi watakufa hakuna ajabu apo, swali la kujiuliza Lengo la Putin limetimia jibu ni kwamba halijatimia
Lengo halijatimia? Unafikiri PUTIN plan yake ni kutimiza malengo kwa mda gan? Au amekuteua uwe msemaji wake otherwise tulia majibu atatupatia PUTIN mwenyew
 
Back
Top Bottom