kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Baada ya Rais donald trump wa marekani kupost kwenye mtandao wake wa X kuwa bidhaa yeyote inayotoka canada,Mexico na china zitaanza kuliko ushuru wa 25% ya bidhaa izo kabla ya kuingia usa kitu ambacho kwa mawazo ya trump anaamini kitakuza uchumi wa Marekani
Na pia kitafanya company nyingi za marekani kukimbia nchi izo na kurudi kuwekeza zaidi usa
Kutokana na tax zitaongezeka na kufanya kampuni zote zishindwe kuzalisha kwa uwingi
Ubabe huu wa trump anaamini labda Canada na Mexico zitampigia magoti
Kutokana na utuba ya Rais wa mexico ametoa utuba kuwa
Kutokana kauli ya Trump
Mexico itaongeza ushuru pia kwa bidhaa yeyote ya marekani ambayo inapatikana Mexico na kuongeza ushuru kwa biashara yeyote ya marekani ambayo wanafanya na Mexico.
Waziri mkuu pia wa Canada justin trudeau amesema Canada itaangalia jinsi Canada ya kufanya expédition na china na kwakuongezea kusema ni wakati wa canada sasa kuwa huru kuchagua ni nani awe rafiki na nchi gani ya kufanya nayo biashara bila kuingiliwa na yeyote yule
Pia ataongeza ushuru kwa bidhaa yeyote ya usa ambayo inapatikana Canada
Canada watafanya biashara ya mafuta kwa dollars ya Canada kitu ambacho kitatikisa uchumi wa usa
Uku waziri mkuu wa mkoa wa Québec amesema Québec watakata umeme wao ambao unawasha baadhi ya mikoa ya usa kama New York
Uku waziri mkuu wa Canada pia akishtumu usa kufazili vyama vya wauni kufanya mauaji Canada