Waziri mkuu wa DRC, Sylvestre Ilunga ajiuzulu

Waziri mkuu wa DRC, Sylvestre Ilunga ajiuzulu

Huyo Kabila ni bogus kabisa kakaa madarakani miaka 18 lakini bado hajaridhika tu huku kafanya ufisadi mkubwa wakati wa utawala wake.

Alijiongezea miaka miwili ya bure kwa tamaa tu lkn bado tu hajaridhika, hawa ndio watu wa kuwekwa ndani kwa utumiaji mbaya wa madaraka.
 
Kabila na genge lake bado wana ushawishi mkubwa sana katika jamii ya wakongo walio wengi, Hivyo Tshekedi ana kazi ya ziada kuongoza taifa hilo.
 
Kwa sababu wewe unadhani kila kazi inaweza kufanywa kwa kifurushi cha Tigo mtandaoni!??? Hembu kakagulie miradi ya uwekezaji huko mitandaoni tuone?!

Huyo Mataga aliuliza juu ya kuwahi kazini mtu akiwa anafanya kazi New York!! Siyo kwenu Bongo hata kupata internet mpaka JIWE awape ruhusa!!
 
Unazungumzia kura ya kutokuwa na imani au kujiuzulu?

Kura ya kutokuwa na imani wabunge wa Tanzania walitaka kumpigia Mizengo Pinda, ikazimwa bungeni.

Tanzania Uwaziri Mkuu Nyerere alijiuzulu (Tanganyika), Sokoine alijiuzulu, Lowassa alijiuzulu.
Kilichotangulia ni kura ya kutokuwa na imani naye
 
Back
Top Bottom