Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia
Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mhabeshiakikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia
Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
Kiwanda cha silaha kinawekwa juu ardhi hivyo si wawaige iran .. si kitalipuliwa maram moj tuakikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia
Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
View attachment 3260508
sawa mbantuSawa Mhabeshi
ina tegemea silaha gan mkuu!Kiwanda cha silaha kinawekwa juu ardhi hivyo si wawaige iran .. si kitalipuliwa maram moj tu
Tanzania ilianza haya mambo kitambo sana kule Morogoro kama sikoseiakikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia
Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
View attachment 3260508
Haina noma mkushisawa mbantu
MizingaTanzania ilianza haya mambo kitambo sana kule Morogoro kama sikosei
Basi tulia hapo tu panatoshaTanzania ilianza haya mambo kitambo sana kule Morogoro kama sikosei
Sawa MkuuMizinga
😅😅🤣🤣magobore yenyewe yanatengenezwa mtaaniTanzania ilianza haya mambo kitambo sana kule Morogoro kama sikosei
NCHI INA NJAA BADALA KUTENGENEZA ZANA ZA KILIMO HILI WA KULIMA WAPATE KWA BEI NAFUU MNATENGENEZA BULLETS
Acha umaku basiMizinga
Sasa mjomba unakasirika nini? Kwani ni siri hiyo?Acha umaku basi
Ulinzi ni kitu cha kwanza,,,,NCHI INA NJAA BADALA KUTENGENEZA ZANA ZA KILIMO HILI WA KULIMA WAPATE KWA BEI NAFUU MNATENGENEZA BULLETS
Kiwanda cha jeshi cha vifaa vya kivita kinaitwa mizinga/mzinga,sasa umaku unatoka wapi!?Acha umaku basi
Acha hayo mambo mkuu wanguKiwanda cha jeshi cha vifaa vya kivita kinaitwa mizinga/mzinga,sasa umaku unatoka wapi!?