waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

Risasi tu ndiyo Hadi atangaze?wakati sisi jeshi letu Bora namba Moja afrika (Rwanda defence force) wanatengeneza magari ya kivita
 
Risasi tu ndiyo Hadi atangaze?wakati sisi jeshi letu Bora namba Moja afrika (Rwanda defence force) wanatengeneza magari ya kivita
Nasikia jeshi la Rwanda limepewa jina la utani Rwanda Social media defense force kule Ubelgiji
 
Hapana sijakasirika kabisa mjomba nashauri tu kwani nyie wakuu mnasemaje labda kuhusu hilo
Sisi wakuu tunasema the more unavo ignore mambo ya mitandaoni ndio the best stratergy kuliko kuzia. Ukijifanya unataka kuzuia rumors na kupambana nazo ndio unavozidi kuzipa nguvu. Au unaonaje?
 
Hiyo ndio level of uzalendo mtu anaweza akawa proud of na kutoka mbele ya watu kifua mbele na vitisho juu. Lakini uzalendo wa kulalamika kupanda kwa bei ya mkate au uongozi incompetent hatuna. Hebu imagine jamaa from no where anakomaa na kujiona protector na mzalendo hata neno Mzinga lisisemwe wakati wenyewe mpaka website wanayo. Hao ndio wale unawakuta Dodoma wanavaa kaunda na kunyoa ndevu huku wakiwa serious mda wote wakijipa vyeo mbali mbali vya kizalendo. šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Tanzania ilianza haya mambo kitambo sana kule Morogoro kama sikosei
Nilitaka kuandika kitu kama hiki; I think kilikua kwenye ile karakana ya Mang'ula, walikua wanatengeneza almos everything, hadi kufanya rebuild ya baadhi ya machine enzi za Nyerere, Mwinyi na mwanzoni mwa Mkapa; baada ya hapo tukaona tujikite kwenye siasa, mambo ya uchumi tukaachana nayo
 
Back
Top Bottom