Qatar ndumilakuwili. Janja yake kambeba marekani mgongoni la sivyo alikwishaliwa kichwa zamani na Saudia
Qatar inawasaidia magaidi kwa mlango wa nyumaBaada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:
"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko upande wa unyama wa Hamas. Israel itashinda vita hivi kwa uhakika tu."
“Mytake” Qatar ilichagua upande zamani, iko upande wa Hamas kabisa. Swali ni kwa nini Israel bado inairuhusu Qatar kuwa mpatanishi mkuu kati yake na Hamas, hata Misri inaweza kuwa mpatanishi wa haki kuliko Qatar, Qatar inapata uhalali mkubwa wa kimataifa kutokana na nafasi yake ya kuwa mpatanishi mkuu, hili lazima likome.
Houthi wameitia kiberiti ben gurion airport, wateule wanaharaNa aliyewaita Waislam “Wafuga Midevu na Majini hakukosea kabisa!!!
Naskia umepigwa huko na wavaa vilembaBaada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:
"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko upande wa unyama wa Hamas. Israel itashinda vita hivi kwa uhakika tu."
“Mytake” Qatar ilichagua upande zamani, iko upande wa Hamas kabisa. Swali ni kwa nini Israel bado inairuhusu Qatar kuwa mpatanishi mkuu kati yake na Hamas, hata Misri inaweza kuwa mpatanishi wa haki kuliko Qatar, Qatar inapata uhalali mkubwa wa kimataifa kutokana na nafasi yake ya kuwa mpatanishi mkuu, hili lazima likome.
Mbona hadi wazungu wanafuga ndevu au ww mwenzetu bwabwa Na aliyewaita Waislam “Wafuga Midevu na Majini hakukosea kabisa!!!
Wajukuu wa Paulo mnashida sana.Qatar ndumilakuwili. Janja yake kambeba marekani mgongoni la sivyo alikwishaliwa kichwa zamani na Saudia
hakuna mwarabu mwema kwa wana wa Israel.iwe misri iwe qatar wote hao ni wale wale wachekao kwa kicheko muisrael akifa na kulia kwa matalumbeta mwarabu mpalestina akiuwawa. sasa hivi kaja kiongozi bora wa duniahuko marekani ambaye yeye mwenyewe anaipenda israel na watu wake atahakikisha israel inapata suppoti kubwa kuikausha hamas.Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu: