Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akikaribishwa white-house na rais wa Marekani Donald Trump

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo hii amepokelewa White-house na Rais wa Marekani Donald Trump

Wakiwa kwenye kikao chao watazungumza mambo mbalimbali yakiwemo vita vinavyoendelea na Hamas na Saula la Iran kushutumiwa kuwasaidia magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth huko Yemen.

Ma gazetki mengi ya Israel yanasema "Israel inajiandaa kwa shambulio linalowezekana dhidi ya Iran, na inaamini kuwa inaweza kuyashambulia maeneo ya nyuklia ya Iran, mifumo ya makombora, na mali ya jeshi la anga. Israeli inaweza kuhitaji idhini ya Amerika, msaada wa kuongeza mafuta na silaha muhimu," - Yediot Ahronot.limeeleza.

Ripoti ya Yediot Ahronot inashangaza, kwa kuwa Israel haitafuti tena shambulio la pamoja la Marekani na Israel dhidi ya Iran, na kwamba Israel inaweza kwenda peke yake. Maana inasema uwezo huo wanao Israel piaimeomba kutoka kwa Marekani "kusukuma makubaliano ya nyuklia kali baada ya shambulio hilo."

 
Moja ya vikao bora kabisa kuwahi kufanyika duniani in the recent past! Mnategemewa sana kwa amani ya dunia; Mwenyezi Mungu awaongoze vyema.
 
GeoPWatch:
⚡️🇵🇸🇵🇸❌🇮🇱 - The Saraya AlQuds (PIJ) Brigades announce bombarding IDF forces and vehicles stationed on "Shuja’iyya"'s "Muntar" Hill Site, northern Gaza, with mortar shells.

⚡️🇵🇸❌🇮🇱 - Hebrew Media reports a "difficult incident" in the area of
"Zeitoun", northern Gaza.

Simultaneously, local news report causality Evacuation Helicopter flights and intense clashes.


⚡️🇵🇸🇵🇸❌🇮🇱 - "Abu Obaida", the spokesperson of the AlQassam Brigades publishes a press statement:
» Our mujahideen continue to fight heroic battles, carry out well-planned ambushes, and lie in wait for enemy forces to inflict a certain slaughter on them at the place, time, and method of their choosing.


⚡️🇵🇸🇵🇸❌🇮🇱 - "Abu Obaida", the spokesperson of the AlQassam Brigades publishes a press statement:
» The heroism of our mujahideen on the ground, from Beit Hanoun to Rafah, is a source of pride, a military miracle, and a testament to all the youth and forces of the nation.


⚡️🇵🇸🇵🇸❌🇮🇱 - "Abu Obaida", the spokesperson of the AlQassam Brigades publishes a press statement:
» Our mujahideen, in combat positions and defensive ambushes, are ready for confrontation and have pledged to remain steadfast until victory or martyrdom.
 
Moto walio pelekewa mashoga leo huo hapo juu wewe endelea na ufake wako gaza bado hajamalizana nao bro
 
Moto walio pelekewa mashoga leo huo hapo juu wewe endelea na ufake wako gaza bado hajamalizana nao bro
Tatizo lako USHOGA wako unautanguliza mbele kama baba yako Ritz huwezi kumaliza mazungumzo yako bila kutaja kazi yako pendwa ya USHOGA!!
 
Tatizo lako USHOGA wako unautanguliza mbele kama baba yako Ritz huwezi kumaliza mazungumzo yako bila kutaja kazi yako pendwa ya USHOGA!!
Hamjamalizana ingieni kwenye tunnels huko ohooo kuna picha moja imetumwa hao kwa group fighters wako wanaangalia newz kikao cha trump ndani ya tunnels na wengine wana rifle za myahudi yan waainjyoy kama hamna kinachotokea, huo ndio uaname hakuna kulia wala kujinyonga kama mayahudi fake
 
Namaliza na kauli ya Msemaji wa hamas 'Abu ubaida’ Until Victory or Martyrdom" tafuta maana haya maneno ndio utajua kumshinda Al Qasam unahitaji nin na sio maneno matupu wala kuangusha Magofu
 
🌟 CNN from U.S. officials:

▪️The Houthis succeeded in dropping 7 marches for us, which hindered the transition to the second phase of the campaign

▪️We hoped to achieve air superiority in Yemen within 30 days and weaken the air defense of the Houthis

▪️We were hoping to start a new phase focused on gathering information and monitoring Houthi leaders to target them

▪️The most appropriate marches for the mission are MQ 9 and the Houthis used to drop it frequently

▪️The Houthis have become more adept at targeting our MQ9 drones

▪️The continuous losses of the marches made it difficult for us to accurately determine the success of the destruction of the Houthi weapons

▪️The ability of the Houthis and their determination to strike American and commercial ships and bomb Israel has not changed much

▪️The continuous bombing for 6 weeks did not affect the capabilities of the Houthis or the intention of their command and control

▪️We hit more than 700 Houthi targets and carried out 300 airstrikes since the campaign began on March 15
 
Al-Qassam Brigades: Continuation of "Breaking the Sword" Ambush
➖
🇵🇸|🔴🤔 As part of the "Breaking the Sword" operation, Al-Qassam Mujahideen successfully sniped 4 soldiers and officers of the occupying army yesterday, Thursday, leaving them dead and wounded on Al-Awda Street east of Beit Hanoun town, northern Gaza Strip.
➖
🌟@DEQNEWS
 
Back
Top Bottom